Karagwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Afrika Mashariki 1800-1845
Ukoloni
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Mapambano ya uhuru Tanganyika
Uhuru
Uhuru wa Tanganyika
Mapinduzi ya Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

Tanzania Portal

Karagwe ni eneo la kihistoria ya Tanzania ya kaskazini magharibi upande wa magharibi wa Ziwa Viktoria Nyanza karibu na mpaka wa Burundi.

Sehemu kubwa ya eneo hili leo ni wilaya ya Karagwe katika Mkoa wa Kagera.

Kihistoria ilikuwa utemi au ufalme mdogo. Hakuna historia ya kimaandishi lakini watawala wake wanakumbukwa tangu karne ya 15.

Wapelelezi Wazungu wa karne ya 19 na wakoloni Wajerumani [1] walikuta eneo lililokaliwa na wakulima Wanyambo waliotawaliwa na wafugaji Wahima [2].

Wakati wa ukoloni wa Kijerumani ikulu ya mtemi ilipatikana huko Bweranyange[3]

Wanyambo wa Karagwe walijua teknolojia ya kufuma si chuma tu, bali feleji pia.[4][5]

Watawala wa Karagwe[6][hariri | hariri chanzo]

Watawala wa Karagwe walikuwa na cheo cha "Umugabe". Nasaba ilianzishwa mnamo mwaka 1450 na mtemi Ruhanda I aliyeitwa pia Bunyambo.

1675 - 1700 Ruhinda V
1700 - 1725 Rusatira
1725 - 1750 Mehinga
1750 - 1775 Kalemera I Ntagara Bwiragenda (d. 1775)
1775 - 1795 Ntare V "Kiitabanyoro"
1795 - 1820 Ruhinda VI Orushongo "Lwanyabugondo" (b. 1777 - d. 1820)
1820 - 1853 Ndagara I "Luzingamcucu lwa nkwanzi"
1853 - 1881 Rumanyika I Rugundu
1882 - 1886 Ndagara II Nyamkuba
1886 - 1893 Kalemera II Kanyenje
1886 - 1893 Kakoko -Regent
1893 - 1914 Ntare VI
1914 - 1916 Kahigi -Regent
1916 - 1939 Daudi Rumanyika II
1939 - 1962 - 9.12. B. Itogo Ruhinda VII

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tazama chini J A Grant kwenye Viungo vya Nje, pamoja na makala "Karagwe" katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)
  2. Grant aliandika "Wahuma", kamusi ya Kijerumani inaeleza ni walewale wanaoitwa Wahuma, Wahima au Baim. Leo hii "Wahima" au "Wahuma" ni jina la watu wanaotazamwa kama tawi la Watutsi wanaoishi Kongo
  3. makala Karagwe katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920)]], pale paliitwa "Weranjanje" kwa tahajia ya Kijerumani. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-05-17. Iliwekwa mnamo 2015-09-15.
  4. Africa's Ancient Steelmakers. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-24.
  5. Karagwe Information. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-01-07. Iliwekwa mnamo 2009-02-24.
  6. Tanganyika Traditional Polities

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bugene | Bweranyange | Chanika | Chonyonyo | Igurwa | Ihanda | Ihembe | Kamagambo | Kanoni | Kayanga | Kibondo | Kihanga | Kiruruma | Kituntu | Ndama | Nyabiyonza | Nyaishozi | Nyakabanga | Nyakahanga | Nyakakika | Nyakasimbi | Rugera | Rugu