Nyakasimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Nyakasimbi
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Karagwe
Idadi ya wakazi
 - 120,803

Nyakasimbi ni kata ya Wilaya ya Karagwe katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35409 [1].

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,803 waishio humo.[2]

Kata ina vijiji vya Nyakasimbi, Bujara, Kahanga na Nyamwala. Kijiji cha Nyamwala kina kitongoji cha Masheshe kinachopakana na pori la Chimisi.

Zamani Nyakasimbi ilikuwa inajumuisha kata ya Rugu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bugene | Bweranyange | Chanika | Chonyonyo | Igurwa | Iha | Ihembe | Kanoni | Kayanga | Kibondo | Kihanga | Kiruruma | Kituntu | Ndama | Nyabiyonza | Nyaishozi | Nyakabanga | Nyakahanga | Nyakakika | Nyakasimbi | Rugera | Rugu

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyakasimbi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.