Wanyambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wanyambo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Karagwe. Lugha yao ni Kinyambo. wanyambo pia nikabila ambalo lina utamadun tofaut na makabila mengine katika mkoa wa kagera tofauti zao kitamaduni -mavazi yaliyotumika kitamadunu yalifahamika kama (embugu)zilitokana na magome ya miti iitwayo kwa kinyambo "emitoma" Imetawaliwa na viongozi maarufu kama "omukama" na walio maarufu sana mpaka sasa hivi ni omukama Rumanyika na omukama Ruhinda Snr(balozi mstaafu) anayekaa makao makuu huko karagwe, Nyakahanga. Watu wengine wajulikanao ni familia ya Kazimoto walio ishi Nyakahanga karibu na kiongozi huyo wa jadi. Watu huwachanganya wanyambo na wahaya kwa kuwa wahaya wana majigambo na maneno mengi sana na hivyo kuelekea kumchanganya mnyambo na mhaya. Baadhi ya wanyambo wamechanganyikana na asili ya kinyarwanda kwa sababu wakimbizi waliishi karagwe na "kuintermarry" na watu wa karagwe. Wanyambo hupenda kula Ndizi kama chakula chao. Zamani ungemuuliza mnyambo halisi alichokula angesema "nalya amatoke" maana "nimekula chakula" ila kama alikula ugali angesema "tinalya akantu" maana "sijala chochote".

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyambo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wanyambo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Tazama anuani hii: "mugishagwe.blogspot.com/2011/01/lijue-kabila-la-wanyambo.html"