Kinyambo
Mandhari
Kinyambo (au Orunyambo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyambo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinyambo imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyambo iko katika kundi la E20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyambo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyambo
- lugha ya Kinyambo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/now
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kinyambo)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Bickmore, Lee. 1989. Kinyambo prosody. PhD thesis. University of California at Los Angeles (UCLA).
- Rugemalira, Josephat. 1993. Runyambo verb extensions and constraints on predicate structure. PhD thesis. University of California at Berkeley. Kurasa 322.
- Rugemalira, Josephat M[uhozi]. 1995. Verb extensions in Runyambo. Afrikanistische Arbeitspapiere, 41, uk.51-87.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyambo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |