Ileje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Ileje (kijani) katika mkoa wa Mbeya.

Wilaya ya Ileje ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Songwe, hadi 2016 ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

Wilaya hii imepakana na nchi ya Malawi na inatenganishwa nayo na mto Songwe.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 124,450 1[1].

Wengi wao ni Wandali ambao wanaongea Kindali na kufuata dini ya Ukristo, hasa madhehebu ya Wamoravia.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Wilaya hii ina kata zifuatazo:

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ileje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ileje - Mkoa wa Songwe - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bupigu | Chitete | Ibaba | Ikinga | Isongole | Itale | Itumba | Kafule | Kalembo | Lubanda | Luswisi | Malangali | Mbebe | Mlale | Ndola | Ngulilo | Ngulugulu | Sange |