Magu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Magu, mkoa wa Mwanza

Wilaya ya Magu ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,113 [1].

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Magu - Mkoa wa Mwanza - Tanzania

Buhumbi | Bujashi | Bujora | Bukandwe | Chabula | Isandula | Itumbili | Jinjimili | Kabila | Kahangara | Kandawe | Kisesa | Kitongo Sima | Kongolo | Lubugu | Lutale | Magu Mjini | Mwamabanza | Mwamanga | Ng'haya | Nkungulu | Nyanguge | Nyigogo | Shishani | Sukuma