Rose Cyprian Tweve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rose Cyprian Tweve (amezaliwa tarehe 31 Desemba 1977) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017