Fakharia Shomar Khamis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Fakharia Shomar Khamis (amezaliwa 20 desemba 1952) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017