Kaunti ya Taita-Taveta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kaunti ya Taita–Taveta)
Kaunti ya Taita-Taveta | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kaunti | |||||
| |||||
Taita-Taveta County in Kenya.svg Kaunti ya Taita-Taveta katika Kenya | |||||
Nchi | Kenya | ||||
Namba | 6 | ||||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Pwani | ||||
Makao Makuu | Mwatate | ||||
Miji mingine | Voi, Wundanyi, Taveta | ||||
Gavana | Granton Graham Samboja | ||||
Naibu wa Gavana | Majala Mlagui Delina | ||||
Seneta | Johnes Mwashushe Mwaruma | ||||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Lydia Haika Mnene Mizighi | ||||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Taita-Taveta | ||||
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 20 | ||||
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 4 | ||||
Eneo | km2 17 152 (sq mi 6 622) | ||||
Idadi ya watu | 340,671 [1] | ||||
Wiani wa idadi ya watu | 20 | ||||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||||
Tovuti | taitataveta.go.ke |
Kaunti ya Taita-Taveta ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Imepakana na Kaunti za Kwale, Kitui, Kilifi, Tana River, Kajiado na Makueni. Pia, imepakana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makao makuu yako Mwatate.
Idadi ya watu waliohesabiwa katika sensa iliyofanywa mwezi wa Agosti 2019 ni 340,671 katika eneo la km2 17,152, msongamano ukiwa hivyo wa watu 20 kwa kilometa mraba[2].[3].
Taita-Taveta ina mbuga za wanyama za Tsavo Mashariki na Tsavo Magharibi.
Ziwa Jipe na Ziwa Chala hupatikana katika kaunti hii katika mpaka wa Kenya na Tanzania.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Taita Taveta imegawanywa katika maeneo yafuatayo ya utawala[4]:
Kaunti ndogo/Eneo bunge | Kata | Msimbo |
---|---|---|
Voi | Kasigau | VKAS |
Marungu | VMAR | |
Sagalla | VSAG | |
Kaloleni | VKAL | |
Mbololo | VMBO | |
Ngolia | VNGO | |
Mwatate | Rong'e | MRON |
Wusi-Kishamba | MWUKI | |
Mwatate | MMWA | |
Chawia | MCHA | |
Bura | MBUR | |
Wundanyi | Werugha | WWER |
Mwanda-Mghange | WMMG | |
Wundanyi-Mbale | WWUM | |
Wumingu-Kishushe | WWUKIS | |
Taveta | Chala | TCHA |
Bomani | TBOM | |
Mahoo | TMAH | |
Mata | TMAT | |
Mboghoni | TMBO |
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [5]
[hariri | hariri chanzo]- Mwatate 81,659
- Taita 55,959
- Taveta 91,222
- Voi 111,831
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
- ↑ "2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County". Kenya National Bureau of Statistics. Retrieved 4 November 2019.
- ↑ "Kata ndogo pamoja na wadi na misimbo ya wadi Ilihifadhiwa 19 Aprili 2018 kwenye Wayback Machine.", Serikali ya Taita-Taveta, ilipatikana 12-04-2018
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Taita-Taveta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |