Kaunti ya Wajir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kaunti ya wajir)
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Wajir
Kaunti
Wajir airstrip.JPG
Coat of Arms of Wajir County.png
Nembo ya Serikali
Wajir County in Kenya.svgWajir County in Kenya.svg
Kaunti ya Wajir katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 8
Ilianzishwa Tarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Kaskazini Mashariki
Makao Makuu Wajir
Miji mingine Habaswein, Tarba
Gavana Balozi Mohamed Abdi Mahamud EGH
Naibu wa Gavana Ahmed Muktar Ali
Seneta Abdullahi Ibrahim Ali
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Fatuma Gedi Ali
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Wajir
Eneo 55,840.6 km2 (21,560.2 sq mi)
Idadi ya watu 661,941
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti wajir.go.ke

Kaunti ya Wajir ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Wajir.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Wajir imegawanywa katika maeneo yafuatayo[1]:

Eneo bunge Wadi
Wajir East Wagberi

Township

Barwaqo

Khorof Harar

Tarbaj Elben

Sarman

Tarbaj

Wargadud

Wajir West Arbajahan

Hadado/Athibohol

Adamasajide

Ganyure/Wagalla

Eldas Eldas

Della

Lakoley south/Basir

Elnur

Wajir South Benane

Burder

Dadajabula

Habaswein

Lagbogol south

Ibrahim Ure

Diff

Wajir North Gurar

Bute

Korondille

Malkagufu

Batalu

Danaba

Godoma

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wadi za uchauguzi", Serikali ya Wajir, Ilipatikana 12-04-2018