Kaunti ya Samburu
Mandhari
Kaunti ya Samburu | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kaunti | |||||
Uundaji wa matofali katika Samburu | |||||
| |||||
Samburu County in Kenya.svg Kaunti ya Samburu katika Kenya | |||||
Coordinates: 1°10′N 36°40′E / 1.167°N 36.667°E | |||||
Nchi | Kenya | ||||
Namba | 25 | ||||
Ilianzishwa | Machi 4, 2013 | ||||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Bonde la Ufa | ||||
Makao Makuu | Maralal | ||||
Miji mingine | Baragoi, Archers Post, South Horr, Wamba, Lodosoit | ||||
Gavana | Moses Kasaine Lenolkulal | ||||
Naibu wa Gavana | Julius Lesseto Lawrence | ||||
Seneta | Steve Lelegwe | ||||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Maison Leshoomo | ||||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Samburu | ||||
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 15 | ||||
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 3 | ||||
Eneo | km2 21 065.1 (sq mi 8 133.3) | ||||
Idadi ya watu | 310,327 | ||||
Wiani wa idadi ya watu | 15 | ||||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||||
Tovuti | samburu.go.ke |
Kaunti ya Samburu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 310,327 katika eneo la km2 21,065.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 15 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Maralal.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Samburu ina eneo la km2 20 182.5 (sq mi 7 792.5). Imepakana na Marsabit, Turkana (kaskazini), Isiolo (mashariki), Laikipia (kusini) na Baringo (mashariki).
Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu.
Hifadhi ya Taifa ya Samburu, Msitu Loroki, Mlima Ng'iro, Milima Ndoro na Ol Doinyo Lenkiyo hupatikana Samburu[2].
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Samburu ina maeneo bunge yafuatayo[3]:
Eeneo bunge | Kata |
---|---|
Samburu Mashariki | Waso, Wamba Magharibi, Wamba Mashariki, Wamba Kaskazini |
Samburu Kaskazini | El-Barta, Bachola, Ndoto, Nyiro, Angata Nayokie, Baawa |
Samburu Magharibi | Lodokejek, Suguta Marmar, Maralal, Loosuk, Porro |
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]
[hariri | hariri chanzo]- Samburu Central 164,942
- Samburu East 77,994
- Samburu North 67,391
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "eLimu | Counties in Kenya". learn.e-limu.org (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-25. Iliwekwa mnamo 2018-10-17.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Samburu-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Samburu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |