Lafey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lafey ni mji mdogo wa kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 22,882[1].

Pia ni kata ya eneo bunge la Lafey[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]