Nenda kwa yaliyomo

Kiminini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiminini ni mji mdogo wa Kenya ambao wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 16,560[1].

Ni kata ya kaunti ya Trans-Nzoia, Eneo bunge la Kiminini, nchini Kenya[2].