Nenda kwa yaliyomo

Kikuyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kikuyu


Kikuyu
Kikuyu is located in Kenya
Kikuyu
Kikuyu

Mahali pa mji wa Kikuyu katika Kenya

Majiranukta: 1°15′0″S 36°40′0″E / 1.25000°S 36.66667°E / -1.25000; 36.66667
Nchi Kenya
Kaunti Kiambu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 233,231

Kikuyu ni mji wa Kenya ya Kati, katika Kaunti ya Kiambu, pia ni kata ya eneo bunge la Kikuyu[1].


Katika sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 233,231 [2].

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009