Takaba
Mandhari
Takaba ni mji mdogo ulioko kaskazini mashariki mwa Kenya.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 21,517[1].
Pia ni kata ya kaunti ya Mandera, eneo bunge la Mandera Magharibi[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.citypopulation.de/en/kenya/cities/
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Takaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |