Porro, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Porro ni bonde la Kenya, kaunti ya Samburu, sehemu ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, linalovutia watalii kwa mandhari yake.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]