Mtumiaji:Salasini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.


Majina yangu ni David Salasini na ni mwenyeji wa Kenya. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi na ninafanya Kemia. Niko katika mwaka wa mwisho na Wikipedia imekuwa msaidizi mkubwa sana katika harakati yangu ya masomo kwa miaka tatu sasa na nadhani ni wakati pia nisaidie katika kuchangia kwenye Wikipedia.