Majadiliano ya mtumiaji:Salasini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages.

--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:40, 21 Novemba 2009 (UTC)

Eneo la uchaguzi la Bonchari[hariri chanzo]

Habari, David. Makala husika na kichwa cha habari hapo juu, ni makala ambayo umeandika vizuri sana. You've got my full credit. Imefikia viwango kadhaa hivyo uindeleze - na ukishindwa, basi uliza na utajibiwa. Pia, usisahau kuorodhesha makala zako pindi uanzishapo!--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:43, 26 Novemba 2009 (UTC)

David, umeona kwamba nimoengeza baadhi ya maelezo na mfumo mwema wa upangaji makala zako! Si vyema kuingilia ukurasa wa mtu, lakini kwa msaada kwa wale waliowapya - ikibidi! Ninajua fika unatafuta njia ya kuweza kunijibu, lakini bado hali ni tete. Basi fungua hapa na utaweza kujibu na kuuliza lolote ulipendalo kwenye ukurasa wako huu-huu wa majadiliano! Hongera tena na tena. Kaza buti.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:48, 26 Novemba 2009 (UTC)


Ahsante sana Muddyb Blast. Niliweza kuangalia ukurasa wako wa wikipedia na nimeona kwamba wewe ni mchangiaji mkubwa sana.

Mimi nimeanza tu juzi na bado sina habari yote. natumai kuwa utanisaidia mahali ambapo nina shida ama sielewi.

Kwa hilo usijali. Nipo kwa ajili ya kila mwenye kutaka msaada wa Kiwikipedia! Pia, nimeona kwamba unashindwa kuweka "sahihi" baada ya kuandika ujumbe. Si unaona mimi ninatokea jina langu, nk? Basi ili na wewe litokee, basi weka hivi: --~~~~ mwishoni umalizapo ujumbe wako! Au baada ya kumaliza, bonyeza kitufe kilichoandika kama SAHIHI hivi. Jioni njema.--Muddyb MwanaharakatiLonga 15:56, 27 Novemba 2009 (UTC)


nimeona hilo, sasa ninataka kuweka picha kwenye akaunti yangu na pia kwenye makala ninayoandika.nitafanyaje? --Salasini (majadiliano) 16:26, 27 Novemba 2009 (UTC)

David, salam. Unataka kupakiza picha yako? Ikiwa hivyo, basi fungua hapa. Pili, hairuhusiwa kupakiza picha yako binafsi kwenye makala unazoandika! Ila tu, picha kuna kuwa na shida ya hatimiliki. Usipakize picha za watu bila kuitolea maelezo - itafutwa! Uliza kingine, kaka.--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:40, 28 Novemba 2009 (UTC)