Eneo bunge la Bonchari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Eneo la uchaguzi la Bonchari)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Bonchari ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo ya majimbo tisa katika Kaunti ya Kisii.
Jimbo hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wajumbe wa Bunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Mfumo |
---|---|---|---|
1988 | Protas Kebati Momanyi | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | Protas Kebati Momanyi | KANU | |
1997 | Opore John Zebedeo | KANU | |
2002 | Opore John Zebedeo | Ford-People | |
2007 | Onyancha Charles | ODM |
Kata
[hariri | hariri chanzo]Kata | ||
Kata | Wapiga kura waliosajiliwa | Manispaa |
---|---|---|
Nyamokenye | 5.345 | Kisii manisipaa |
Bogiakumu | 4.458 | Suneka mji |
Bokeira | 1.993 | Suneka mji |
Insaria | 4.381 | Suneka mji |
Nyang'iti | 3.091 | Suneka mji |
Bomariba | 6.126 | Gusii |
Bomokora | 3.607 | Gusii |
Riana | 5.325 | Gusii |
Jumla | 34.326 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [0] ^Muungano wa Kidemokrasia 'Center for Multiparty Democracy': Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Muungano wa Kidemokrasia Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Bonchari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |