Wikipedia:Wakabidhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mkabidhi ni mhariri aneyeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.

Bureaucrat (ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine). Ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).

Wakabidhi (Administrators)

Orodha hii ilisasishwa tarehe 26, Mei 2014.

BOTs: please use the Wikipedia:Bots page to request bot status, and one of the bureaucrats will deal with it.

Jenga Wikipedia ya Kiswahili

Wakabidhi walianzisha kundi la Jenga Wikipedia ya Kiswahili. Kama umekuwa mchangiaji hapa swwiki kwa muda wa mwaka 1 au zaidi na ungependa kujadiliana nasi kuhusu njia za kuendeleza Wikipedia hii ya Kiswahili, basi tembelea ukurasa ule wa Meta na ujiandikishe.

Kusafisha orodha ya Wakabidhi mwaka 2014

Wapendwa, napeleka tena pendekezo la kusafisha orodha na kuondoa wakabidhi ambao hawakuonekana muda mrefu. Kwa heshima wengine wetu walisita kuwaondoa hao waliochangia mengi katika miaka ya kwanza ya wikipedia hii. Lakini hali halisi ingawa orodha yetu ina majina mengi tuko wachache. Tunahitaji wakabidhi hai zaidi wanaosaidia kusafisha wiki yetu. Kwa hiyo napendekeza kuwachagua ChriKo na Riccardo na kuwapa mamlaka za mkabidhi. Wengine tuwaondoe. Mkabidhi si cheo bali kazi. Mtu asiyekuwepo tangu miaka miwili hawezi kufanya kazi.

Napendekeza kubaki na SJ (alifanya kazi 2013, yuko kamati kuu ya Wikimedia na yuko tayari kusaidia wakati wowote) na kufuta wafuatao. Ukikubali au kutokubali weka alama ya ~~~~ mahali pake kwa kila jina Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)

Nimependekeza kubaki na Malangali na Ndesanjo kwa vile hao ni Waswahili wa ngazi ya juu. Ingawa hawana nafasi nyingi za kutusaidia, kazi yao ya kila siku inahusu lugha ya Kiswahili, nami nina tumaini la kwamba watarudi kwetu. --Baba Tabita (majadiliano) 07:18, 15 Mei 2014 (UTC)
Nafurahi kuwaambia kuwa Ndugu Malangali amerudi kwetu akisafisha vigezo katika makala zilizotafsiriwa katika "Google Challenge" miaka kadhaa iliyopita - angalieni hapa. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:43, 19 Mei 2014 (UTC)
Nimemwandikia kwenye ukurasa wake kumkaribisha tena. Nafurahi pia. Ila tuone kama itatosha kwa shughuli za mkabidhi? Ningeona vema kufuata utaratibu uliowekwa kwenye Meta (tazama habari ya Cekli829 hapo chini). Lakini kwa sasa natetea muundo tuliyokubaliana hapa sw. - kama mtu 1 wa kwetu anapinga mkabidhi anabaki. Baadaye tuone kama tupokee muundo wa Meta - itarahisisha kazi. Kipala (majadiliano) 08:59, 20 Mei 2014 (UTC)

IMPORTANT: Admin activity review

Hello. My apologies for writing in English, if you can translate this message please do so.

A policy regarding the removal of "advanced rights" (administrator, bureaucrat, etc) was recently adopted by global community consensus (your community received a notice about the discussion). According to this policy, the stewards are reviewing administrators' activity on smaller wikis. To the best of our knowledge, your wiki does not have a formal process for removing "advanced rights" from inactive accounts. This means that the stewards will take care of this according to the new admin activity review here.

We have determined that the following users meet the inactivity criteria (no edits and no log actions for more than 2 years):

 1. Mtumiaji:Flowerparty
 2. Mtumiaji:Marcos
 3. Mtumiaji:Mr Accountable
 4. Mtumiaji:Malangali (amehariri upya tarehe 19 Mei 2014!)

These users will receive a notification soon, asking them to start a community discussion if they want to retain some or all of their rights. If the users do not respond, then their advanced rights will be removed by the stewards.

However, if you as a community would like to create your own activity review process superseding the global one, want to make another decision about these inactive rights holders, or already have a policy that we missed, then please notify the stewards on Meta-Wiki so that we know not to proceed with the rights review on your wiki. Thanks, --Cekli829 (majadiliano) 05:17, 20 Mei 2014 (UTC)

Hi Cekli829, thanks for your info. Well, we do have a procedure - it is just in progress under the same rule we applied 2 years ago as well. I notified all active users. Three votes are sufficient to have someone out - unless one vote opposes - then the user stays on. After 1 week we will see the results. Kipala (majadiliano) 08:59, 20 Mei 2014 (UTC)

Kura

KURA HII IMEFUNGWA

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
 4. --Cekli829 (majadiliano) 04:48, 20 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:
Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
 4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)
 5. --Cekli829 (majadiliano) 04:49, 20 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Flowerparty (alihariri mara ya mwisho: 02:07, 11 Septemba 2009) ameondolewa

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
 4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)
 5. --Cekli829 (majadiliano) 04:49, 20 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Ndesanjo (alihariri mara ya mwisho: 09:12, 4 Juni 2012)anabaki

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:
 1. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 2. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)

*kumwondoa Mtumiaji:Marcos (alihariri mara ya mwisho: 15:47, 3 Oktoba 2010)ameondolewa

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
 4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)
 5. --Cekli829 (majadiliano) 04:50, 20 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Mr Accountable (alihariri mara ya mwisho: 21:36, 30 Machi 2011) ameondolewa

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
 2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)
 4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)
 5. --Cekli829 (majadiliano) 04:51, 20 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Malangali (alihariri mara ya mwisho: 18:46, 4 Oktoba 2010 - amehariri upya tarehe 19 Mei 2014!) anabaki

Nakubali:
 1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)
Sikubali:
 1. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)
 2. ChriKo (majadiliano) 20:41, 20 Mei 2014 (UTC)
 3. MwanaharakatiLonga 06:38, 22 Mei 2014 (UTC)

Jalada (Archive)

Ona pia

Lists

Hoi, I am working on lists, Listeria lists about African politicians. When a change happens, it will automatically update these lists. What I hope to achieve is to have better representation in all the Wikimedia projects. At this time less than 1% of the humans in Wikidata is from Africa and, imho that is an issue. Thanks, GerardM (majadiliano) 14:42, 25 Mei 2018 (UTC)

PS I have created similar lists on the Yoruba Wikipedia.

Very well, but your lists remain your own page... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:06, 25 Aprili 2020 (UTC)

Mabadiliko ya uongozi

Ndugu, baadhi ya viongozi wa Wikipedia yetu wameacha kazi muda mrefu. Kumbe wamejitokeza wengine, tena wenyeji. Nimeona pia kwamba wanalalamikia hali ya sasa ya viongozi wengi kutokea nchi za mbali. Kwa nini tusirekebishe hali hiyo? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:06, 25 Aprili 2020 (UTC)

Naona wafuatao walikuwa wakabidhi lakini hawakuonekana tena muda mrefu. Ninapendekeza tukubali utaratibu ufuatao:
 • kama mtumiaji aliyekuwa mkabidhi hajahariri kwenye swwiki kwa muda wa mwaka mmoja anafutwa kama mkabidhi
 • Kufuatana na pendekezo hili wafuatao hawakuonekana muda mrefu hivyo wangefutwa kama wakabidhi: mtumiaji:Baba Tabita (tangu 26 Septemba 2018, alituaga), mtumiaji:Malangali (tangu mwaka 2015), mtumiaji:Sj (tangu Julai 2019, tangu 2015 aliingia mara 3), ;
 • mtumiaji:Ndesanjo hakuonekana tena tangu Novemba 2019 hivyo angebaki kufuatana na pendekezo la juu. Alikuwa mmoja wa waanzilishaji wa swwiki alikuwa mbali muda mrefu alirudi 2019.

Kipala (majadiliano) 09:02, 23 Julai 2020 (UTC)