Mimi ni Marcos Cramer kutoka Ujerumani. Kiswahili siyo lugha yangu ya mama, lakini nimeamua kusaidia na Wikipedia wa Kiswahili, kwa sababu bado hakuna watu wengi wanaosaidi.
Ninasaidia sana na Wikipedia wa Kiesperanto, na kidogo na Wikipedia za Kijerumani na Kiingereza.
Marcos, unakaribishwa kujiunga kwenye kikundi cha mazungumzo kuhusu mawikipedia ya lugha mbalimbali za Kiafrika. Naomba utembelee http://groups.yahoo.com/group/afrophonewikis/ kujiandiksha.
Asante, Malangali 19:46, 16 Agosti 2006 (UTC)