Mtumiaji:Olimasy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


OTTO AUGUSTINO NYONGOLE

Amezaliwa 17 Augusti 1992
Ludilo, Mdabulo, Mufundi Iringa Tanzania
Nchi Tanzania
Majina mengine olimasy
Kazi yake Mhandisi, Mkabidhi (utarakilishi)

Mimi OTTO AUGUSTINO NYONGOLE nimhitimu wa chuo kikuu cha uhandisi na tekinolojia cha mtakatifu Yosefu kilichopo Kibamba Dar es Salaam.Ninaishi Dar es SalaamTanzania Mimi ni mzaliwa wa kijiji cha ludilo katika kata ya Mdabulo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Wazazi wangu wana ishi huko mkoani Iringa pia wanajishughulisha na kilimo cha mazao ya Chakula. Hapa chuoni nasomea uhandisi wa elekitronikia na mawasiliano ya mbali

Elimu yake[hariri | hariri chanzo]

Nilianza shule ya chekechea mwaka 1996 huko kilima, nimesoma miaka minne (4yrs).

Elimu ya Msingi[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu elima ya chekechea nikarudi nyumbani kijiji cha Ludilo ndiko niliko jiunga na elimu ya msingi mwaka 2000 katika shule ya msingi ludilo, nikahitimu elimu ya msingi mwaka 2006,

Elimu ya sekondari[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu elimu ya msingi nikafanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari mwaka 2007 kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya kata ya Mdabulo na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2010, nikiwa nasoma masomo tisa yaani Fizikia, kemia, Hisabati, Jiografia ,Uraia, Kiswahili,Kemia, Historia na Kiingereza.

Elimu ya sekondari ya juu[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu kidacho nne nilifanikiwa kujiunga na kidato cha sita katika shule ya wavula ya njombe (NJOMBE BOYS HIGH SCHOOL) mwaka 2011 na kuhitimu mwaka 2013 katika mchepua wa PCB yaani Fizikia, Kemia ,Biolojia ,Hisabati msingi na Uraia.

Elimu ya juu[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu kidato cha sita nikafanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha st.joseph univesity in Tanzania mnamo mwaka 2014 shahada ya kwanza katika kitovo cha Elektroniki na mawasilianoanga kwamda wa miaka minne mpaka mnamo mwaka 2018

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[1] [2]

  1. https://www.scribd.com/doc/51144533/Orodha-Ya-Wavulana-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-2011
  2. https://www.saahiihii.com/?lang=DAN&section=EDUCATION&businessNo=27