Wikipedia:Wakabidhi/4

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukurasa mama: wikipedia:Wakabidhi

Ukurasa huu una michango kuanzia 2013 hadi 2020 Mwanzo

Kusafisha orodha ya Wakabidhi mwaka 2014[hariri chanzo]

Wapendwa, napeleka tena pendekezo la kusafisha orodha na kuondoa wakabidhi ambao hawakuonekana muda mrefu. Kwa heshima wengine wetu walisita kuwaondoa hao waliochangia mengi katika miaka ya kwanza ya wikipedia hii. Lakini hali halisi ingawa orodha yetu ina majina mengi tuko wachache. Tunahitaji wakabidhi hai zaidi wanaosaidia kusafisha wiki yetu. Kwa hiyo napendekeza kuwachagua ChriKo na Riccardo na kuwapa mamlaka za mkabidhi. Wengine tuwaondoe. Mkabidhi si cheo bali kazi. Mtu asiyekuwepo tangu miaka miwili hawezi kufanya kazi.

Napendekeza kubaki na SJ (alifanya kazi 2013, yuko kamati kuu ya Wikimedia na yuko tayari kusaidia wakati wowote) na kufuta wafuatao. Ukikubali au kutokubali weka alama ya ~~~~ mahali pake kwa kila jina Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Nimependekeza kubaki na Malangali na Ndesanjo kwa vile hao ni Waswahili wa ngazi ya juu. Ingawa hawana nafasi nyingi za kutusaidia, kazi yao ya kila siku inahusu lugha ya Kiswahili, nami nina tumaini la kwamba watarudi kwetu. --Baba Tabita (majadiliano) 07:18, 15 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Nafurahi kuwaambia kuwa Ndugu Malangali amerudi kwetu akisafisha vigezo katika makala zilizotafsiriwa katika "Google Challenge" miaka kadhaa iliyopita - angalieni hapa. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:43, 19 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Nimemwandikia kwenye ukurasa wake kumkaribisha tena. Nafurahi pia. Ila tuone kama itatosha kwa shughuli za mkabidhi? Ningeona vema kufuata utaratibu uliowekwa kwenye Meta (tazama habari ya Cekli829 hapo chini). Lakini kwa sasa natetea muundo tuliyokubaliana hapa sw. - kama mtu 1 wa kwetu anapinga mkabidhi anabaki. Baadaye tuone kama tupokee muundo wa Meta - itarahisisha kazi. Kipala (majadiliano) 08:59, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]

IMPORTANT: Admin activity review[hariri chanzo]

Hello. My apologies for writing in English, if you can translate this message please do so.

A policy regarding the removal of "advanced rights" (administrator, bureaucrat, etc) was recently adopted by global community consensus (your community received a notice about the discussion). According to this policy, the stewards are reviewing administrators' activity on smaller wikis. To the best of our knowledge, your wiki does not have a formal process for removing "advanced rights" from inactive accounts. This means that the stewards will take care of this according to the new admin activity review here.

We have determined that the following users meet the inactivity criteria (no edits and no log actions for more than 2 years):

  1. Mtumiaji:Flowerparty
  2. Mtumiaji:Marcos
  3. Mtumiaji:Mr Accountable
  4. Mtumiaji:Malangali (amehariri upya tarehe 19 Mei 2014!)

These users will receive a notification soon, asking them to start a community discussion if they want to retain some or all of their rights. If the users do not respond, then their advanced rights will be removed by the stewards.

However, if you as a community would like to create your own activity review process superseding the global one, want to make another decision about these inactive rights holders, or already have a policy that we missed, then please notify the stewards on Meta-Wiki so that we know not to proceed with the rights review on your wiki. Thanks, --Cekli829 (majadiliano) 05:17, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Hi Cekli829, thanks for your info. Well, we do have a procedure - it is just in progress under the same rule we applied 2 years ago as well. I notified all active users. Three votes are sufficient to have someone out - unless one vote opposes - then the user stays on. After 1 week we will see the results. Kipala (majadiliano) 08:59, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Kura[hariri chanzo]

KURA HII IMEFUNGWA

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  4. --Cekli829 (majadiliano) 04:48, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:
Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  5. --Cekli829 (majadiliano) 04:49, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Flowerparty (alihariri mara ya mwisho: 02:07, 11 Septemba 2009) ameondolewa

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  5. --Cekli829 (majadiliano) 04:49, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Ndesanjo (alihariri mara ya mwisho: 09:12, 4 Juni 2012)anabaki

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:
  1. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]

*kumwondoa Mtumiaji:Marcos (alihariri mara ya mwisho: 15:47, 3 Oktoba 2010)ameondolewa

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  5. --Cekli829 (majadiliano) 04:50, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Mr Accountable (alihariri mara ya mwisho: 21:36, 30 Machi 2011) ameondolewa

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 12:54, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  4. ChriKo (majadiliano) 20:34, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  5. --Cekli829 (majadiliano) 04:51, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:

*kumwondoa Mtumiaji:Malangali (alihariri mara ya mwisho: 18:46, 4 Oktoba 2010 - amehariri upya tarehe 19 Mei 2014!) anabaki

Nakubali:
  1. Kipala (majadiliano) 19:04, 13 Mei 2014 (UTC)[jibu]
Sikubali:
  1. Baba Tabita (majadiliano) 06:20, 14 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  2. ChriKo (majadiliano) 20:41, 20 Mei 2014 (UTC)[jibu]
  3. MwanaharakatiLonga 06:38, 22 Mei 2014 (UTC)[jibu]

Hoi, I am working on lists, Listeria lists about African politicians. When a change happens, it will automatically update these lists. What I hope to achieve is to have better representation in all the Wikimedia projects. At this time less than 1% of the humans in Wikidata is from Africa and, imho that is an issue. Thanks, GerardM (majadiliano) 14:42, 25 Mei 2018 (UTC)[jibu]

PS I have created similar lists on the Yoruba Wikipedia.

Very well, but your lists remain your own page... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:06, 25 Aprili 2020 (UTC)[jibu]