Mtumiaji:Anuary Rajabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anuary Rajabu, ni mchangiaji wa kujitokelea katika miradi mbalimbali ya shirika la Wikimedia wa nchini Tanzania. Miradi hiyo ni pamoja na wikipedia, Wikidata, Wikimedia Commons pamoja na mradi wa Meta-Wiki.