Nenda kwa yaliyomo

Mradi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mradi ni jitihada za muda mrefu au mfupi zilizofanywa na watu ili kutengeneza bidhaa au kutoa huduma fulani. Pia ni kazi ya kisasa ya kibiashara na kisayansi kama mradi (au mpango) au kazi yoyote, inayofanyika moja kwa moja au kwa kushirikiana na uwezekano wa kuhusisha utafiti au kubuni, iliyoandaliwa vizuri (kwa kawaida na timu ya mradi) ili kufikia lengo fulani.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mradi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.