Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hifadhi ya majadiliano kuhusu kubadilisha wakabidhi hadi mwaka 2010

Mawasiliano na ofisi ya WMF - Wikimedia Foundation / Asaf Bartov[hariri chanzo]

A. Barua ya Kipala kwa Asaf Bartov Juni 2014[hariri chanzo]

Sent: Montag, 30. Juni 2014 01:34 To: 'abartov@wikimedia.org' Subject: sw-wikipedia

Hi Asaf, It was pleasure meeting you . As you were so kind to offer yourself as our ambassador at Wikimedia let me bring you our wish list from sw after communicating with our team via sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Ukurasa_wa_jumuia.

1. Offline version of sw-wikipedia 2. Contact to stewards in charge of restricting article creation 3. Sw-meeting coming March – any chance of getting support for travel allowance? 4. Sci-Journal access ?

Ad 1. Offline version of sw-wikipedia
We discussed this shortly at Joburg. I think it is worthwhile to give our present state a trial at a school. Riccardo Riccioni is in charge of a secondary school around Morogoro in Tanzania he thinks he can use it with some of his teachers. So if you can get this on the way we will appreciate it!!! Please tell me about time frame. I think USB-stick would be good. How to get it there? Well if you see a direct way to get it o Tanzania that is fine. Another possibility could be to send it to a Chicago address. I will be I the US from end of July till end of August, we start and finish at my son’s place at Chicago. Then I can send it to Oliver (who is Germany during summer) or try one of the Tanzanian diplomats here at Teheran. Can that help?

Ad 2. Contact to stewards in charge of restricting article creation
Maybe you had a look at my Joburg presentation on sw (https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/1/1a/Challenges_and_successes_building_an_African_language_wikipedia_-_Swahili_%28I_Koll%29.pdf ) If you don’t have time for all: slides from #16 are those I refer to.
We had vote back in 2012 on our wiki to restrict article creation to registered users. 2 main reasons:
A) the workload for our small team is often too high. Not all of us are daily checking, all of us are working, several of us have travel jobs and are off workplace for several days. We have lots of users who do not understand basic concepts (especially not understanding difference between creating user page and namespace entry…). We try to keep quality but it is a challenge. Like to make life easier.
B) several other wikipedias (although a minority) have this system – especially Wikipedia no 1 = en. I tried in 2012 to get someone who might be in charge to listen – but got lost in the Wikimedia jungle and gave up after a while. You can see in the slides why I labeled it in the presentation “neocolonial wiki structures“

Ad 3: Sw-meeting coming March – any chance of getting support for travel allowance? I circulated the idea of having an editors meeting coming March. All liked it. I plan to visit Dar coming Nowruz break (around21 March). It seems to fit because Oliver think he would be in Nairobi and could take the time to come to TZ. Christiaan Kooyman (based in Morocco) says he plans to be in Kenya in 2nd half of March. Muddy is in Dar, and Riccardo is in Morogoro (200 km from Dar, used to be 3 hrs drive). So it would be the question of 2 flight tickets from Nairobi to Dar, maybe bus cost to Morogoro for most of us (as Riccardo seems to be the most busy of us) and some guesthouse over there (unless Riccardo can put us up – not checked).
Would such an idea within the scope of Wikimedia funding projects?
I will try to get also Paul Kihwelo (he was on the wikiindaba) on board, lets see if he can realize the idea of contributing with us. And maybe someone else who shows up actively in TZ or Kenya.

Ad 4: Sci-Journal access ? Can you help to get access to scientific journals? I have not checked this one with the others (forgot to…) I saw that sometimes (de-wikipedia?) Wikimedia can help to get editors into access for scientific journals. In my own experience his was not too often something necessary, as we still work a lot on medium stubs to get topics covered. But I have been quite a few times in front of references I could not access because I am not in a position to get into jstor etc. Sometimes I have a workaround writing someone an email who can…

B. Jibu la Asaf la 1 Disemba 2014[hariri chanzo]

(alitangulia kuomba radhi kwa kuchelewesha jibu mno)

Sorry about the further delay, caused by a bout of flu this time. :(
Here are some answers, at last:
1. Yes, I am happy to prepare and send some offline Swahili Wikipedia USB drives to Tanzania. This will take a few weeks to set up on our side (to order the keys and prepare them), and I do have some more travel coming up. I expect I should be able to send them in early January. Could you send me the exact address in Tanzania? Also, about how many do you think you'll need? 20? 50? 100?
2. I'm happy to help make it happen this time! Could you send me a link to the 2012 vote, and to the failed Meta discussion?
3. Yes, we would be happy to support a Swahili editors meeting in Dar. Please submit a Project and Event Grant proposal, according to the instructions here: https://meta.wikimedia.org/wiki/Grants:PEG/Submit_request
Let me know if you have any questions about the process. We are generally able to make decisions within 28 days, so there's still time for the March meeting.
4. Yes, we're giving away accounts to access some major scholarly journal databases, in a program we call The Wikipedia Library. See here: https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:The_Wikipedia_Library
Let me know if you have any specific question regarding TWL.
Once again, please accept my apologies for this entirely-unwarranted delay. :( Warmly, A.


C. Maswali kwetu wahariri wa kudumu[hariri chanzo]

Wapendwa
Hapa juu jibu la Asaf Bartov kutoka wikimedia foundation. Hatimaye nilipata jibu lake baada ya miezi kadhaa (aliomba radhi).
Mambo anayojadili ni yafuatayo (kulingana na barua yangu ya awali, tazama juu!)

 1. offline Swahili Wikipedia version: hii inahusu kwanza Riccardo aliyesema atafanya jaribio katika shule yake. Wengine waseme pia wanataka ngapi.
 2. restricting article creation : tumewahi kujadili, namjibu sasa tuone itakavyokuwa
 3. kuhusu mkutano wa wahariri mwezi wa Machi katika TZ: wako tayari kugharamia
 4. Kuhusu kibali cha kutumia majarida ya kitaalamu kwenye intaneti bila gharama: wako tayari kutupatia

D. Swali la Mkutano mwezi wa Machi katika TZ[hariri chanzo]

Narejea majadiliano hapa

 • mimi naweza kupanga kwa wikendi (kwenu wikendi afadhali?) 21-22 Machi kuja TZ.
 • washiriki: Oliver alisema kwake itawezekana. ChriKo alisema wakati ule atakuwepo Kenya. Riccardo alisema sawa kama ahichkui muda mno. Muddy hana shida. Mimi nategemea kutembelea TZ wakati wa likizo ya mwaka mpya wa Kiajemi. Sasa tumempata Rberetta kama mshiriki lakini nisipokosei yuko mbali sana. Halafu huko Joburg alikuwepo Mtanzania mmoja ambaye haandiki kwetu ni mtu wa chuo kikuu lakini kama kuna swali la usambazaji labda tungemkaribisha?
 • Kuhusu mahali: kwa wale ambao wangekuja kutoka Kenya (Oliver na ChriKo) Arusha ingekuwa afadhali. Kwa Muddy na kwangu hakuna tofauti. Riccardo anabanwa kidogo Morogoro pia anaona nafasi ya mkutano wa walimu wa huko (mimi napenda hoja hili).
 • Kwa hiyo naona ingekuwa ni Arusha/Moshi au Morogoro.
 • Ombi kwa Watanzania: Je Muddy na Riccardo: mnaweza kupeleleza je kuna mawasiliano gani kwa ndege ? (baina Nairobi-Arusha-Morogoro-Dar?) na gharama gani? Tukipata msaada wa WMF tunaweza kugharamia pia tiketi za ndege, hii itapunguza muda wa usafiri. (Mimi nitafurahi kupanda basi Dar-Moro). Tutahitaji gharama kwa ajili ya kuandika ombi kwa WMF.
 • Agenda ya mkutano: hapa tutapaswa kuwasiliana zaidi. Mimi naona a) kufahamiana, b) kushauriana c) kujadiliana kama kuna njia ya kupanga mwelekeo wa kazi d) ikiwezakana kushirikisha wengine e) mimi ningependa nafasi ya kukutana na walimu wa shule penye intaneti, tupate feedback ni makala gani zinazoweza kuwasaidia wao na wanafunzi
 • Muda wa mkutano: siku 2, siku 1, si zaidi ya 2 Kipala (majadiliano) 09:42, 3 Desemba 2014 (UTC)
Usafiri wa kwenda Arusha au Moshi ungekuwa rahisi na basi, hasa Riverside Shuttle. Lakini hata Morogoro ingefikiwa rahisi, yaani tungeweza kuchukua ndege ya kwenda Dar halafu kuendelea na basi hadi Morogoro. Nimeangelia katika tovuti ya Opodo sasa hivi (http://www.opodo.com), na gharama ya ndege Nairobi-Dar na kurudi kwa mtu mmoja ni Euro 340. Kwa mfano, tukiondoka Ijumaa (tarehe 20 Machi) saa mbili za asubuhi, tutatua saa tatu na nusu huko Dar, tungepata basi ya Shabiby ya saa tano na kuingia Morogoro saa za mchana, kama saa nane au tisa. Halafu tukutane Ijumaa jioni na Jumamosi siku nzima, halafu tungeweza kurudi Jumapili (ndege ya mwisho kutoka Dar ni saa moja ya jioni). Tukikutana Arusha lakini nitajaribu kupanga uchunguzi mjini Magugu kwa mwezi wa Machi - halafu ningekuwa karibu zaidi. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 13:28, 3 Desemba 2014 (UTC)
Asante kwa utayari wa kuja Morogoro na kukutana na walimu wetu, si tu kwa kuuliza wanahitaji nini, bali pia kwa kuwahamasisha wachangie: wapo 40 hivi. Ila sipendi kulazimisha. Toka Dar kuna ndege pia kila siku kwenda na kurudi. Mkiamua, naweza kupeleleza bei. Kuhusu siku, napendelea pendekezo la Baba Tabita: Ijumaa jioni na Jumamosi nzima. Nakubali agenda za Kipala. Amani kwa wote! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:49, 7 Desemba 2014 (UTC)
Sawa. Nami nitakuwepo (ila ombi langu nimechoka kupanda mabasi kuja Arusha - safari hii na mimi nataka niondoe nuksi kidogo nipande ndege gharama yake kwa FastJet haizidi 150,000 au 200,000 TSH kwa kwenda na kurudi. Kuhusu mada, naziunga mkono hoja za Kipala. Na nipo tayari kufanya lolote kuzifanikisha! Wenu, Muddyb, au--MwanaharakatiLonga 08:52, 13 Desemba 2014 (UTC)
WMF ikigharamia safari zetu, sijali mahali ambapo mkutano utafanyika, kwa hivyo Morogoro ingekuwa sawa kwangu. Je, watauliza kuona risiti zetu? Ninauliza kwa sababu labda nitakuja kwa gari yangu. Endapo nitafanya hiyo, ningependa kutumia pesa ya tikiti ya ndege ili kununua mafuta. Na tutalala wapi huko Morogoro? ChriKo (majadiliano) 19:14, 14 Desemba 2014 (UTC)
Wapendwa kwa bahati mbaya niligonjeka kidogo lakini niko tena. Haya kwa hiyo mkadirio wangu Ndege Nairobi-Dar 350 €, HAlafu Dar-Moro je ita kuwa ni basi (gharama gani??). Au kama ndege ziko - je ratiba gani`? Halafu Malalo huko Moro - je Riccardo unaweza kupendekeza nini? Mimi nalala kila mahala. Ila tu nahitaji kuleta makadirio. Ndimi wenu Kipala (majadiliano) 14:42, 21 Desemba 2014 (UTC)
Kwanza pole kwa kugonjeka (kweli uliishi Kenya!) na hongera kwa kupona. Kwa basi, Dar-Moro ni Tsh. 7,000. Kuhusu ndege, lazima niulize vizuri ratiba na gharama. Upande wa kulala, mazingira yetu wenyewe hayafai kupokea wageni, labda hata kama ni mashujaa kama Kipala! Lakini hoteli jirani ziko nyingi, na bei zake hutofautiana kadiri ya nyota zake... Ni kuchagua tu! Kwa sasa heri za Krismasi! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:37, 23 Desemba 2014 (UTC)
Asante kwa ushauri woote! Sasa naomba lete pendekezo na namba. Binafsi sijali nyota sana pia sina picha siku hizi nyota ina maana gani TZ. Mende wachache (au bila - ikiwezekana), usafi kiasi, vyumba vilivyoona rangi mpya karne hii... Mimi nahitaji kiasi fulani ninayoweza kutaja, je unaweza kuulizia? Nitashukuru!! 31.2.230.122 08:14, 31 Desemba 2014 (UTC)

Jaribio la taarifa ya warsha ya Morogoro[hariri chanzo]

Naomba tuangalie hapa hali ya taarifa isiyo rasmi bado: meta:Grants:PEG/User:Kipala/Swahili wikipedia longtime editors' meeting and workshop/Report Kipala (majadiliano) 05:35, 7 Aprili 2015 (UTC)

Wiktionary Swahili[hariri chanzo]

Salaam Aleikum? Mnamo 4 Julai 2016 nilweza kutoa ombi la kutaka kuwa mkabidhi wa Wiktionary Swahili. Hakuna mkabidhi yeyote aliyejibu..... Nawaomba jamani mjibu.... Ona michango yangu katika tovuti hiyo. Asante Trunzep (majadiliano) 07:02, 11 Novemba 2016 (UTC)

Mkabidhi[hariri chanzo]

Salaam ndugu zangu? Naomba kuwa mkabidhi wa Wikipedia Swahili. Mimi huja hapa aghalabu (kila siku) na najua naweza fanya gange murwa sana. Asanteni na salamu tolatola kutoka Nairobi,Kenya Trunzep (majadiliano) 10:45, 12 Novemba 2016 (UTC)

Ndugu Trunzep, kwa sasa naona uonyeshe uwezo wako kuchangia katika kuhariri. Kwa kawaida tumepokea wahariri waliochangia vema na kwa muda na hivyo walionekana wameelewa kazi. Naona wewe ni Mkenya na kwa kweli tunakosa makala nyingi sana kuhusu mambo ya Kenya. Nitafurahia kuona michango yako. Naona hadi sasa umechangia 3,4 katika wikikamusi na pia kidogo katika wikipedia. Nitafurahi sana kuona jinsi unavyoendelea. Fanya tu, baadaye tuongee kuhusu mengine. Kipala (majadiliano) 12:14, 12 Novemba 2016 (UTC)

Hamna shida ndugu.... subira huvuta heri. Nitafanza pasi uchovu ndugu Kipala :-) Trunzep (majadiliano) 14:00, 12 Novemba 2016 (UTC)

Ukabidhi kwa mtumiaji:Jadnapac[hariri chanzo]

Kuna pendekezo la kumwongeza Jadnapac kuwa mkabidhi. Ona hapa [[1]]. Kipala (majadiliano) 13:24, 30 Oktoba 2018 (UTC)