Majadiliano ya mtumiaji:Jadnapac

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages.

Hongera kwa michango yako juu ya wanasiasa, ila angalia: baadhi walikuwemo tayari, ila jina la katikati. Ukipata nafasi, punguza kurasa zinazojirudia kuhusu mtu yuleyule. Asante. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:19, 10 Juni 2017 (UTC)

SpecialBarnstar.png

Jadnapac, nakukabidhi hii "Special barnstar" kwa kazi yako endelevu katika Wikipedia ya Kiswahili! Kipala (majadiliano) 22:40, 16 Desemba 2017 (UTC)

Jadnapac : Nakushukuru sana Kipala kwa "Special barnstar".Nimefurahi sana na nitajitahidi kuendelea zaidi.


Kata mpya:Kigezo[edit source]

Salaam naona mnaongeza kata mpya kufuatana na orodha ya misimbo ya posta. Itakuwa vema kama mnsahihisha pia vigezo vya "Kata za Wilaya ya XYZ" vinavyounda sanduku iliyopo chini kwenye ukurasa wa kata na pia wilaya. Mfano:{{Kata za Wilaya ya Mkuranga}} inafunguliwa kwa kuandika https://sw.wikipedia.org/wiki/Kigezo:Kata za Wilaya ya Mkuranga kwenye mstari wa anwani. Hapa unaweza kuhariri na kuongeza majina. Yamepangwa kufuatana na a-b-c kwa hiyo ingiza mahali pake.

Naona itakuwa vema kurudia wilaya mlipoingiza kata mpya, labda kwa kulinganisha jamii:wilaya ya xyz na vigezo. Kipala (majadiliano) 09:47, 30 Desemba 2017 (UTC)


Jadnapac: Salaam Kipala .Asante kwa maelekezo, tutafanyia kazi.

Article idea: Ethiopian Airlines Flight 961[edit source]

Thanks for writing an article about the Ethiopian Airlines accident in Bishoftu. If you're interested, you are welcome to make a Swahili version of en:Ethiopian Airlines Flight 961, also flying Addis Ababa to Nairobi.

Thanks WhisperToMe (majadiliano) 20:39, 16 Machi 2019 (UTC)

Kata mpya[edit source]

Asante kwa kuongeza kata katika Wilaya ya Kisarawe. Tukumbuke kusahihisha pia kigezo cha kata za wilaya husika. (ile boksi ilyopo chini, ni faili ya pekee, tazama juu). Kipala (majadiliano) 06:53, 22 Julai 2019 (UTC)

Shukrani[edit source]

Asante Jadnapac kwa kunikaribisha katika Wikipedia.Nitahitaji zaidi maelekezo ya namna bora ya kuchangia makala Starsony (majadiliano) 09:26, 24 Januari 2020 (UTC)