Majadiliano ya mtumiaji:Czeus25 Masele
Weka madaKaribu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Translation request
[hariri chanzo]Hello! May I ask you for a translation of the phrase Automatic refresh into Kiswahili? Thanks -XQV- (majadiliano) 21:31, 20 Juni 2018 (UTC)
Habari! The translation of the phrase Automatic refresh is Onesha upya moja kwa moja Shukrani sana! Makangabila Clement (majadiliano) 17:17, 21 Juni 2018 (UTC)
Mtumiaji:ChriKo
[hariri chanzo]habari naona umesahihisha matini katika ukrasa wa ChriKo. Masahihisho haya ni sahihi. Lakini ka jumla hatuingii katika kurasa za watumiaji. Kila mmoja anajitambulisha jinsi anavyoona (na anavyoweza). Hii ni tofauti na makala anazotunga. Kipala (majadiliano) 05:39, 26 Novemba 2018 (UTC)
Samahani sikua najua
[hariri chanzo]Samahani mzee Kipala sikujua utaratibu huu. Czeus25 Masele (majadiliano)
Naona tumehariri wakati mmoja, naomba uangalie tena kile ulichohariri mwishoni, inawezekana nimeiharibu kwa bahati mbaya. Niliingiza vyanzo vinavyopatikana google books na OUT. Kipala (majadiliano) 14:16, 4 Desemba 2018 (UTC)
Sawa mzee nitaangalia Czeus25 Masele (majadiliano)
Samaki
[hariri chanzo]

Unaamini kweli samaki inavuta oksijeni kupitia mapezi?? Hii ingekuwa kazi ngumu mno, heri tumwachie mashavu!
ona Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia (TUKI 20123)
gill arch n taoshavu kigegedu,kiungo maalum katika shavu la samaki kinachofanana na upinde, na ambacho hutegemeza vijishavu ambapo kubadilishana kwa oksijeni na dioksidi kaboni hutokea.
fin n pezi: kiungo katika wanyama wa inajini kama vile samaki ambacho
hutokana na mkunjo wa ngozi na musuli uliotengenezwa na mifupa
TUKI English-Swahili dictionary
gill n yavuyavu: shavu la samaki. Vt toa/tumbua mashavu (ya samaki)
Kama ChriKo (PhD biolojia) ameshiriki katika makala, sijaona bado makosa mengi. Kipala (majadiliano) 18:29, 1 Machi 2020 (UTC)
- Sawa Mzee Kipala, nadhani mapezi ni lugha jumuishi sana ila walau mashavu ya samaki inafaa zaidi. Czeus25 Masele (majadiliano) 06:27, 2 Machi 2020 (UTC)
Tangazo
[hariri chanzo]Habari ndugu Mwanawikipedia!
Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA
Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo
Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.
Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia
Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.
Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 17:18, 5 Aprili 2020 (UTC)
- Nimekaribia! Czeus25 Masele (majadiliano) 12:08, 12 Agosti 2025 (UTC)
Kigezo: Picha ya wiki
[hariri chanzo]Ng'ombe ni wanyama wakubwa wa jenasi Bos. Spishi ya ng'ombe ina nususpishi au aina nyingi lakini ni spishi moja tu.
Ng'ombe hula manyasi na kutembea kwa vidole viwili. Asili yake ni aina za ng'ombe wa pori waliofugwa kwa sababu ya nyama na maziwa. Katika nchi nyingi anatumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika mashariki ya kati mnamo milenia ya 9 KK ambako watu waliwahi kuwafuga nas kutoka hapa ufugaji ng'ombe ulisambaa kote duniani.
Picha
[hariri chanzo]Asante kwa kuweka kumbukumbu hiyo ya warsha ya astronomia. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:30, 9 Aprili 2020 (UTC)
Karibu. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:48, 9 Aprili 2020 (UTC)
Masanja
[hariri chanzo]Kuna sababu ya kufuta picha ya V Masanja?Kipala (majadiliano) 19:24, 10 Aprili 2020 (UTC)
Lugha za makabila ya Tanzania
[hariri chanzo]Ndugu, hakuna haja ya kuanzisha jamii hiyo, inatosha ile ya lugha za Tanzania. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:05, 13 Aprili 2020 (UTC)
Sawa Ndungu. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 07:26, 13 Aprili 2020 (UTC)
Kukaribisha wageni
[hariri chanzo]Asante kwa kushiriki katika kukaribisha wageni. Nashukuru ukiendelea. Ila tu usisahau kutia sahihi kwa kuingiza yafuatayo: {{karibu}}~~~~ . Sahihi yako ambayo ni sehemu ~~~~ inakuja pamoja na tarehe. Hii inatusaidia kujua baadaye ni lini kwamba mchangiaji amekaribishwa na kuelezwa kanuni zeti; ni msaada hasa tukilazimishwa kuchukua hatua dhidi ya mchangiaji: je aliweza kujua utaratibu kwa sababu amekaribishwa tayari au bado? Kipala (majadiliano) 23:27, 31 Julai 2020 (UTC)
- Ahsante sana Kipala, niliweza kujua utaratibu baada ya kufatilia mabadiliko ya karibuni hivyo niliona jinsi ya kukaribisha watu.Czeus25 Masele (majadiliano) 06:16, 7 Agosti 2020 (UTC)
Salamu za "Karibu"
[hariri chanzo]Uliweka salamu kwenye ukurasa wa Mtumiaji:Oparanya_harvey badala ya ukurasa wa majadiliano. Naomba uhakikishe unapoweka. Kipala (majadiliano) 22:54, 8 Septemba 2020 (UTC)
- Sawa, ahsante. Czeus25 Masele (majadiliano) 23:14, 8 Septemba 2020 (UTC)
Hongera ya kazi
[hariri chanzo]Naona jisi unavyopiga mbio siku hizi, hongera sana. Ila kwenye namna ya kutafsiri usifuate mfano wa Kiingereza neno-kwa-neno. Mfano hijabu ulichukua sehemu hii yote ya alama za kifonetiki kuhusu matamshi kwa Kiingereza, ambayo ni bure kidogo maana anayetaka kuona haya aangalie upande wa enwiki, si kwetu (isipokuwa labda kama matamshi ya Kiingereza isizo kawaida, inaweza kuwa na maana mara chache). Vilevile kwa karani umetafsiri "white collar" ambayo inaleta maana tofauti. Nani anavaa "kola" kwa Kiswahili? Hata kwa Kiingereza si maana asilia tena (kola kama sehemu ya vazi inayofungwa kwenye shati yako, jinsi ilivyo kwa wachungaji hadi leo, lakini nje ya magauni kadhaa ya wanawake "collar" yenyewe haipo tena) lakini inaeleweka kwa watu wanaofanya kazi ofisini kutokana na desturi ya zamani kubadilisha ile "kola nyeupe" iwe safi ilhali hujaosha shati kila siku. Kutafsiri kamwe ni neno kwa neno lakini kuonyesha maana. Sina wasiwasi, utapata uzoefu! Kipala (majadiliano) 05:25, 10 Septemba 2020 (UTC)
- Kwa Marejeo usisahau kuweka chini yake msimbo wa <references/> , itahakikisha tanbihi zinaonekana mahali panapotakiwa. Kipala (majadiliano) 05:29, 10 Septemba 2020 (UTC)
- Ahsante sana Kipala, nitazidi kujifunza kuboresha zaidi. Czeus25 Masele (majadiliano) 19:26, 10 Septemba 2020 (UTC)
Uteuzi kuwa mkabidhi
[hariri chanzo]Salaam! Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --Muddyb MwanaharakatiLonga 07:43, 13 Septemba 2020 (UTC)
Majadiliano ya ufutaji
[hariri chanzo]Ukichangia kuhusu ufutaji wa makala, usiandike pekee kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala, usisahau kuipeleka pia kwenye ukurasa wa ufutaji, maana maazimio yanafanywa pale. Kipala (majadiliano) 21:43, 14 Septemba 2020 (UTC)
- Sawa, nitafanya hivyo. Czeus25 Masele (majadiliano) 21:47, 14 Septemba 2020 (UTC)
Jamii Forums
[hariri chanzo]JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchini Tanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi ambao walijuana kupitia mtandao wakati ambao mtandao ukiwa dubwana geni si tu Tanzania lakini sehemu kubwa ya dunia, wakati huo ikijulikana kama Jambo Forums na jina hilo lilidumu kwa miaka miwili pekee.
Historia
[hariri chanzo]Uanzilishi
[hariri chanzo]JamboForums ilikuja baada ya kuwa na majukwaa mbalimbali kama Tanzania Economic Forum, Habari Tanzania, Jambo Network, Jambo Radio na Jambo Videos.
Kila tovuti ilikuwa na malengo tofauti lakini yote yakilenga kuwahudumia watu wa nyanja husika kuweza kupata sehemu ya kusemea au kubadilishana mawazo.
Lengo kuu la JF likiwa ni kuanzisha Jamvi moja ambapo wadau watakutana na kubadilishana mawazo huku wakikubali kutokubaliana (utofauti wa mawazo) na kujenga mijadala endelevu. Katika Jambo Network (jambonetwork.com) au JamboRadio.com mijadala ilikuwa kwa mtindo wa chat ambapo hakukuwa na kumbukumbu baada ya mjadala, hii ilipelekea mijadala mingi kuwa inarudiwa na kusababisha kukosa mwelekeo kabisa.
Katika uanzilishi lengo kubwa lilikuwa kuwafikia wazungumzaji wa kiswahili wa eneo la Maziwa Makuu na hata watumiaji wengi wa Kiingereza lakini wenye kupenda kujua habari za ukanda huu.
Mkusanyiko wa majukwaa haya ulipelekea kuwa na kusanyiko moja ambalo kwa wakati huo (2006) liliitwa JamboForums.com, jina ambalo lilitumika hadi mwezi Mei 2008
Mabadiliko ya jina
[hariri chanzo]Mwaka 2008 yalifanyika maamuzi ya haraka na ya lazima kwa wakati huo kwa kubadili jina kutoka Jambo Forums kwenda JamiiForums. Jina la JamiiForums lilichagizwa na kubakia na kifupi cha JF kutoka kuwakilisha neno JamboForums na sasa kuwakilisha neno JamiiForums.
Jina lililazimika kubadilishwa kutokana na mgongano wa matumizi ya jina la JamboForums ambapo lilikuwa halijachukuliwa haki miliki (copyrights) za jina ingawa baadaye walifanikiwa kulimiliki kihalali.
Uongozi haukutaka kusimamisha moja kwa moja matumizi ya JF hivyo wakafikiria jina mbadala la JamboForums na kubaini kuwa tayari hili kusanyiko la wadau ni kusanyiko la Jamii, na bado Jamii ilikuwa ikiendelea kutunza JF kama wengi wanavyopenda kufupisha.
Madhumuni ya kuanzisha JF
[hariri chanzo]Lengo kubwa la uanzishwaji wa JF likiwa ni kuwafikia wazungumzaji wa Kiswahili wa eneo la Maziwa Makuu na hata watumiaji wengi wa Kiingereza lakini wenye kupenda kujua habari za ukanda huu kwa kutoa uwanja huru wa kujadili kwa wanachama wake ambao sio shuruti kutumia majina yao halisi.
Mafanikio
[hariri chanzo]Kwa miaka yote iliyodumu, Jamiiforums imekuwa msaada katika nyanja nyingi ikiwemo siasa, michezo, afya, habari na hasa habari mtambuka. Mtandao wa JamiiForums unatoa fursa ya kipekee ya kujadili habari na hoja mbalimbali badala ya habari kulishwa kwa upande mmoja.
JamiiForums imetoa fursa kwa wananchi wa kawaida kujadiliana na viongozi wa juu katika serikali na taasisi mbalimbali pia watu maarufu katika jamii ambao kwa namna moja au nyingine ingekuwa ngumu kwao kuwapata. Mfano watu maarufu ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania ambae alipata kuwa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania na kuwania urais mwaka 2010, Dr. Wilbrod Peter Slaa, Mwigulu Nchemba ambae aliwahi kuwa naibu wizara ya fedha na mgombea aliekuwa anawania kupewa tiketi ya Urais kwa niaba ya chama tawala, chama cha Mapinduzi, aliekuwa naibu katibu mkuu chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Kabwe Zuberi Zitto pia baadhi ya taasisi kubwa nchini kama TCRA ambao ni wadhibiti wa mawasiliano Tanzania.
JamiiForums kutokana kuwa na wanachama wa aina mbalimbali ina wataalam waliobobea katika fani mbalimbali ambao wanaweza kutoa majibu ya kitaalamu kulingana na fani zao ambapo si ajabu muhusika angelipia kama wangekutana ofisini ama kuibiwa. Mifano inajumuisha ujenzi, afya, teknologia pia inajumuisha uchambuzi makini katika siasa na chaguzi za miaka nenda rudi kwa kutoa mawazo mbadala na kufikisha sauti za watu wasioweza kusikika.
Mfano wa mijadala JamiiForums
[hariri chanzo]ELIMUTIBA: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari
Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)
WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
Mahojiano ya moja kwa moja na Mhe. Zitto Zuberi Kabwe katika JamiiForums
Chanzo/uthibitishaji habari JamiiForums
[hariri chanzo]Hili kwa muda mrefu limekuwa swali kwa watu wengi kwa jinsi gani JamiiForums wanadhibiti habari za uongo na nini chanzo cha habari zao. JamiiForums ni mtandao wa kijamii na si gazeti wala redio lakini utofauti wake wenyewe wameweka wahariri ambao kazi yao kubwa ni kusimamia sheria za majadiliano walizojiwekea lakini pia ikiwekwa habari na wanachama wake inayotiliwa shaka basi hufatilia na kuthibisha au kubatilisha.
FikraPevu
[hariri chanzo]Kuongeza ufanisi na uhakika wa habari zake, kilianzishwa kitengo maalum kinachohusika na habari ambapo huaririwa na waandishi na kuchapishwa kwenye mtandao wa www.FikraPevu.com ambapo ni gazeti mahsusi la mtandaoni kwani kuwazuia watu kuweka habari mpaka uthibitisho kwenye JamiiForums ilionekana ni ukirikitimba na ungeelekea kwenye mkwamo. Wanachama wa JF wamekuwa waungwana na pale ambapo mwanachama mwenzao akipotosha basi kuna nafasi ya kuripoti ili usawa uwekwe.
Takwimu
[hariri chanzo]Kwa mwaka 2012 JamiiForums ilikuwa na wanachama zaidi ya 100,000 na kupata watembeleaji 50,000 kila siku. Kulingana na mtandao wa statscrop.com ambao hupima tovuti mbalimbali, JamiiForums ina thamani ya $3,182,721.
Wanachama wakongwe
[hariri chanzo]Pamoja na JF kuwa na wanachama wengi lakini wapo wanachama walioanza tangu JamboForums inaanza mwaka 2006 na wangine wamekuwa nayo kwa takriban miaka kumi sasa. Mafano wa wanachama hao ni Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Augustine Moshi, Kyoma, Mwawado, Mkandara, Kibunango, Steve Dii Mwafrika wa Kike, Kichuguu Choveki Masatu Masanja Quemu Mlalahoi Mtanzania Bibi Ntilie Game Theory jmushi1 Zakumi Moelex23 na wengineo wengi.
JamiiForums kwenye mitandao ya kijamii
[hariri chanzo]Pamoja na kuwa mtandao wa kijamii maarufu zaidi ukanda wa Afrika Mashariki wenye asili ya Tanzania, JamiiForums inazo kurasa kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook ikiwa na wafuatiliaji wengi zaidi Afrika Mashariki takribani 3,200,000 mpaka September 2019 pia JamiiForums ina kurasa yake katika mtandao wa Twitter na Instagram. .
Futa
[hariri chanzo]Kuna Pendekezo la ufutaji wa Makala uliyoanzisha, hivyo unaweza kuiboresha zaidi ili kuepushwa kufutwa.
Nimerudisha matini ya mtumiaji:JJOSY2000, maana si vizuri tukijaribu kuficha ukosoaji. Akikosoa (bila matusi, bila fujo) ni haki yake, hata kama sababu anazoleta ni dhaifu na mabadiliko aliyoleta hayawezi kubaki maana anaanza kugusa uwanja wa mahubiri. Sitashughulika usiku huu. Kipala (majadiliano) 21:15, 18 Januari 2021 (UTC)
- Sawa, ahsante kwa taarifa. Czeus25 Masele (majadiliano) 19:12, 19 Januari 2021 (UTC)
Boot Camps article
[hariri chanzo]This is my first try and you guys attack me instant. I know is some kind robotic but Im working on it plus to add more sources. Just give me a chance. I will proof read it until tommorow and add more citations.
- You seems passionate user:Crapalan and thats a good start. But we can't keep such article not knowing when you gonna improve it. Next time try to pe patient and perfect the article before publishing. You may have as more practices into your sandbox as many times as you can. Peaceful!! Czeus25 Masele (majadiliano) 17:28, 1 Juni 2021 (UTC)
Hello Bro, I d like to ask you if you could check the grammar of this article please? I am in a starters level in Kiswahili yet and for sure I wrote some typos. Thank you! Alex. 87.153.174.166 20:42, 24 Agosti 2021 (UTC)
- Okay I will check Czeus25 Masele (majadiliano) 21:14, 24 Agosti 2021 (UTC)
We can finish up the article together if you want, I know the station and the district. You know the Kiswahili language. 87.153.174.166 11:44, 25 Agosti 2021 (UTC)
- Okay, please login or share username so as I can contact you easily to help you with the translation. Thanks Czeus25 Masele (majadiliano) 20:45, 25 Agosti 2021 (UTC)
You can email me directly to denjakvienna@gmail.com please. What informations do you want to addict into this article? 87.153.174.166 11:35, 26 Agosti 2021 (UTC) Bro could you help me to translate some words because google translate gives stuff only, how would you call:
- timetable
- network map
- ticket validators
- equipment
In Kiswahili? Regards, Alex 87.153.174.166 22:01, 27 Agosti 2021 (UTC)
- timetable ( Ratiba)
- network map (Mchoro wa ramani ya mtandao)
- ticket validators (Wakatisha tiketi/Wakaguzi wa tiketi))
- equipment (Kifaa)
How we will see unregistered users
[hariri chanzo]Hi!
You get this message because you are an admin on a Wikimedia wiki.
When someone edits a Wikimedia wiki without being logged in today, we show their IP address. As you may already know, we will not be able to do this in the future. This is a decision by the Wikimedia Foundation Legal department, because norms and regulations for privacy online have changed.
Instead of the IP we will show a masked identity. You as an admin will still be able to access the IP. There will also be a new user right for those who need to see the full IPs of unregistered users to fight vandalism, harassment and spam without being admins. Patrollers will also see part of the IP even without this user right. We are also working on better tools to help.
If you have not seen it before, you can read more on Meta. If you want to make sure you don’t miss technical changes on the Wikimedia wikis, you can subscribe to the weekly technical newsletter.
We have two suggested ways this identity could work. We would appreciate your feedback on which way you think would work best for you and your wiki, now and in the future. You can let us know on the talk page. You can write in your language. The suggestions were posted in October and we will decide after 17 January.
Thank you. /Johan (WMF)
18:19, 4 Januari 2022 (UTC)
Have you voted in the UCoC enforcement guidelines ratification?
[hariri chanzo]Hi! @Czeus25 Masele:
The ratification voting process for the revised enforcement guidelines of the Universal Code of Conduct (UCoC) is now open! Voting commenced on SecurePoll on 7 March 2022 and will conclude on 21 March 2022. Please read more on the voter information and eligibility details.
Please vote and encourage other editors of Swahili Wikipedia to also vote.
Regards, Zuz (WMF) (majadiliano) 12:23, 11 Machi 2022 (UTC)
Original state of "King Kikii" contains nothing but misspellings of it as Kiki with SINGLE "i". Kokamamie (majadiliano) 09:56, 23 Novemba 2024 (UTC)
- Thanks Mtumiaji:Kokamamie; please refer below:
- Tanzanian rumba maestro King Kikii passes away at 77 | The Citizen ~2024-18927 (talk) 13:01, 25 Novemba 2024 (UTC)
Tungependa kusikia kuhusu uzoefu wako kuhusu Akaunti za Muda
[hariri chanzo]

Utafiti huu hautachukua zaidi ya dakika 5 kukamilisha.
Timu ya Trust & Safety Product hivi karibuni iliunda akaunti za muda zinapatikana kwenye miradi ya wiki 12. Kuna mipango ya kupanua hili kwa seti kubwa ya miradi ya wiki katika wiki na miezi ijayo, kisha kufuata mchakato wa kutekeleza kikamilifu baadaye mwaka huu. Ushiriki wako katika utafiti huu utakuwa na manufaa makubwa katika kutusaidia kuelewa jinsi Akaunti za Muda zinavyofanya kazi na kile tunachoweza kuboresha mbele.
Sera ya faragha ya utafiti huu inaweza kuonwa kupitia kiungo hiki. Kwa kumaliza utafiti huu, unakubali masharti yaliyoainishwa katika sera ya faragha.
Asante!
SGrabarczuk (WMF) (majadiliano) 02:50, 27 Februari 2025 (UTC)
- Ni wazo zuri likiwa na faida juu ya kuwezesha wachangiaji wasiopenda kujisajiri. Japo nina mapendekezo akaunti hizi ziangaliwe upya ili kuzuia waharibifu wa mtandao, pendekezo ni kwamba hizi akaunti za muda ziwe na mipaka ya matumizi (mfano: idadi ya hariri, muda wa kuwepo. Akaunti lazima zipangiliwe vizuri ili zisitumike vibaya au kuharibu kazi za jamii ya Wikipedia. Czeus25 Masele (majadiliano) 11:20, 26 Juni 2025 (UTC)
Talk Page
[hariri chanzo]Why would you delete my talk page?
About Morisi,
I moved Mauritius (Not Mauritania) to Morisi.
Ancient Sorcerous Empire
[hariri chanzo]WikiBayer - is NOT guardian angel, it is ANNONRIAL/RAVERNAL pure evil:
Majadiliano_ya_mtumiaji:Gayle157#Elephant_in_Porcelain_Shop
READ debunking of WikiBayer reverts. Annonrial Guardian Ravernal Angel (majadiliano) 08:26, 24 Juni 2025 (UTC)
samahani naitwa janeth john
[hariri chanzo]nimeona umefuta makala yangu iitwayo"understandable way to open source technology" ningependa kujua kwanini umefuta maana nina hiitaji nnashida nayo JANETH JOHN LUTENGANO (majadiliano) 11:34, 25 Juni 2025 (UTC)
- @JANETH JOHN LUTENGANO Jibu ni rahisi. Hii ni Wikipedia ya Kiswahili, huo Uzungu unafuata nini hapa? MuddybLonga 07:48, 26 Juni 2025 (UTC)
Delete
[hariri chanzo]What is wrong with you?
Why do you delete pages just anyhow , Like why did you delete the redirect to Vita za Israeli-Irani
(Mtumiaji) 12:55, 25 Juni 2025 (UTC)
- Habari!
- Nimefuta redirection kwa sababu tayari ukurasa umehamishwa, hakuna haja ya kuwa na makala iliyokosewa jina kipindi inaanzishwa. labda
- kama ingekuwa makala iliyofutwa inafanania sana na ilikohamishiwa na kuwa makala iliyofutwa ni maarufu ama ndio jina linalojulikana sana. Mfano Makala iliyofutwa ingekua Aguahrz ila watu wanafahamu zaidi Chronist basi redirection ya Chrosist ingebaki. Amani kwako! Czeus25 Masele (majadiliano) 13:08, 25 Juni 2025 (UTC)
- That's not how it works,
- You don't delete redirects after a page is moved, This is because it preserves History, It also prevents broken links since there are page linking to that redirect .
- Also the redirect page you delete wasn't as a result of page move i created it for alternative names,
- Its just like how Iran redirects to Irani , That doesn't mean you delete the redirect , AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 14:04, 25 Juni 2025 (UTC)
- Hapo zamani niliwahi kusimamia zoezi la editorthon, vijana wapya walikua wakipata mafunzo jinsi ya kuandika makala kwenye boksi la mchanga na kisha kuichapisha makala, vijana wengi waliandika vichwa vya makala na kuweka kituo kikubwa mwishoni mwa jina la makala. Mwalimu wetu alitufundisha kanuni za uandishi na jisi ya kuhamisha makala hizo kwa kuondoa kituo kikubwa mwishoni mwa makala zenye makosa. kisha makala yenye makosa (redirect) zilifutwa. Sio kila redirect ina maana kubaki au la basi mradi huu usingefikia ubora ulionao. kama wachangiaji tutaendelea kuboresha kadiri inavyofaa kulingana na kanuni za mradi. Czeus25 Masele (majadiliano) 15:56, 25 Juni 2025 (UTC)
- Bro, You are wrong you need to read WP:Redirect/Delete Reasons
- The redirect page i created was for alternative name to ensure readers find the article easily. AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 16:49, 25 Juni 2025 (UTC)
- The redirect page i created was for alternative name to ensure readers find the article easily.
- Bro, You are wrong you need to read WP:Redirect/Delete Reasons
- Hapo zamani niliwahi kusimamia zoezi la editorthon, vijana wapya walikua wakipata mafunzo jinsi ya kuandika makala kwenye boksi la mchanga na kisha kuichapisha makala, vijana wengi waliandika vichwa vya makala na kuweka kituo kikubwa mwishoni mwa jina la makala. Mwalimu wetu alitufundisha kanuni za uandishi na jisi ya kuhamisha makala hizo kwa kuondoa kituo kikubwa mwishoni mwa makala zenye makosa. kisha makala yenye makosa (redirect) zilifutwa. Sio kila redirect ina maana kubaki au la basi mradi huu usingefikia ubora ulionao. kama wachangiaji tutaendelea kuboresha kadiri inavyofaa kulingana na kanuni za mradi. Czeus25 Masele (majadiliano) 15:56, 25 Juni 2025 (UTC)
Indentations
[hariri chanzo]Please do NOT waste indent steps by multiple ":" at once. Single step suffices, and on contrary, it looks like long tabulation. CLA 245 (majadiliano) 11:25, 26 Juni 2025 (UTC)
- Thanks
- Czeus25 Masele (majadiliano) 11:26, 26 Juni 2025 (UTC)
- You again forgot it. CLA 245 (majadiliano) 11:27, 26 Juni 2025 (UTC)
- Oh I see, I'm used to start with : in reply for a single step (old version). I have noticed now when you reply there is a single step created automatically. So much have changes in Wiki, again thanks. Czeus25 Masele (majadiliano) 11:38, 26 Juni 2025 (UTC)
- You again forgot it. CLA 245 (majadiliano) 11:27, 26 Juni 2025 (UTC)
Misclassification
[hariri chanzo]Since Mtumiaji:Peter Born lȣ is ALREADY belonging to MASSIVE Jamii:Akaunti bandia za NyinaWaJambo group of accounts, Mtumiaji:FIutureIA should be tagged as SOCK of "NyinaWaJambo" as well, but NOT to single-member "Peter Born lȣ" subgroup. Please change in Mtumiaji:FIutureIA "Peter Born lȣ" string to "NyinaWaJambo" string to avoid single-member Jamii:Akaunti bandia za Peter Born lȣ. CLA 245 (majadiliano) 11:35, 26 Juni 2025 (UTC)
- I will work on it.Czeus25 Masele (majadiliano) 11:40, 26 Juni 2025 (UTC)
- @Czeus25 Masele: Mtumiaji:FIutureIA is admin-only, still nothing changed, simply please fix as said HERE, from "Peter Born lȣ" to "NyinaWaJambo", since Gayle obviously triggered DISRUPTIVE single-member recursing subcategory. CLA 245 (majadiliano) 11:45, 26 Juni 2025 (UTC)
- Mtumiaji:FIutureIA begs correction. You forgot IT. Gaël Clän (majadiliano) 13:37, 26 Juni 2025 (UTC)
- I'm investigating Czeus25 Masele (majadiliano) 13:40, 26 Juni 2025 (UTC)
- I will investigate for you. If FIutureIA is sock of Peter Born lȣ who in turn is sock of NyinaWaJambo, then FIutureIA is too sock of NyinaWaJambo. DITCH INTERMEDIATE STEP. Gaël Clän (majadiliano) 13:46, 26 Juni 2025 (UTC)
- @Gaël Clän Lol, You are too ironic, Cut the pretence.! AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 15:42, 26 Juni 2025 (UTC)
- @Gaël Clän Lol, You are too ironic, Cut the pretence.!
- I will investigate for you. If FIutureIA is sock of Peter Born lȣ who in turn is sock of NyinaWaJambo, then FIutureIA is too sock of NyinaWaJambo. DITCH INTERMEDIATE STEP. Gaël Clän (majadiliano) 13:46, 26 Juni 2025 (UTC)
- I'm investigating Czeus25 Masele (majadiliano) 13:40, 26 Juni 2025 (UTC)
- Mtumiaji:FIutureIA begs correction. You forgot IT. Gaël Clän (majadiliano) 13:37, 26 Juni 2025 (UTC)
I am not PORN monger
[hariri chanzo]They globally locked my "Clän Gaël" account thinking I describe bytes of PORN online. ~2025-83683 (talk) 13:26, 26 Juni 2025 (UTC)
- English Wikipedia is UNRELATED. ~2025-82776 (talk) 13:33, 26 Juni 2025 (UTC)
- It works Czeus25 Masele (majadiliano) 13:38, 26 Juni 2025 (UTC)
- ENGLISH wikipedia is NOT "META"! And META people are very LOFTY. 90% chance for request defeat. ~2025-85053 (talk) 14:04, 26 Juni 2025 (UTC)
- It works Czeus25 Masele (majadiliano) 13:38, 26 Juni 2025 (UTC)
- English Wikipedia is UNRELATED. ~2025-82776 (talk) 13:33, 26 Juni 2025 (UTC)
You should know what "template:Karibu" boilerplate says. She does since weeks recurring breaching of w:en:Wikipedia:Don't cite Wikipedia on Wikipedia. Administrative action needed. ~2025-24870-7 (talk) 08:20, 23 Julai 2025 (UTC)
- @~2025-24870-7 Can you make your english simple?Czeus25 Masele (majadiliano) 08:29, 23 Julai 2025 (UTC)
You too should admonish her as admin. Many non-admin people tell her to stop going against w:en:Wikipedia:Don't cite Wikipedia on Wikipedia and she ignores that STUBBORNLY, see: Majadiliano_ya_mtumiaji:Maryam_Saleh_Abeid. ~2025-25146-2 (talk) 08:49, 23 Julai 2025 (UTC)
- Thanks. As any contributor you can do correction of any article that has not been restricted by admins, hence whenever there is an article you see not fit please do some improvement, add a banner addressing the issues of it it is for deletion add it on deletion list. Also do not hesitate to point out what was done wrong by the contributor in their talk page. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:11, 23 Julai 2025 (UTC)
Majadiliano ya mtumiaji:Maryam Saleh Abeid - "What Was Done Wrong" already there and she still blatantly ignores all that. Wflgf (majadiliano) 09:25, 23 Julai 2025 (UTC)
- usichoke kurekebisha makosa, ila endapo atafanya mabadiliko ya kuondoa kwa makusudi masahihisho yatakayofanywa ataonywa na kuchukuliwa hatua. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:28, 23 Julai 2025 (UTC)
Vyanzo
[hariri chanzo]There is {{vyanzo}} full boilerplate instead of misapplied inline version. ~2025-24742-3 (talk) 09:00, 23 Julai 2025 (UTC)
- 1.Add {{Futa}} - if suggesting deleting the article ref: Jamii:Makala zenye matatizo - Wikipedia, kamusi elezo huru
- 2.add {{Chanzo}} - if an article has no reference
Czeus25 Masele (majadiliano) 09:11, 23 Julai 2025 (UTC)
- {{Futa}} is WRONG,it does NOT support {{Futa|Reason}}, so use {{Delete|Reason}} instead. Wflgf (majadiliano) 09:21, 23 Julai 2025 (UTC)
- {{Chanzo}} is wrong, it creates PETIT inline. TO cover whole article, better is {{Vyanzo}}. Wflgf (majadiliano) 09:22, 23 Julai 2025 (UTC)
Thanks for clarification Czeus25 Masele (majadiliano) 09:24, 23 Julai 2025 (UTC)
- Kigezo:Db-meta contains UPDATED code supporting {{Delete|Reason}} syntax. Please copy its code into Kigezo:Futa which is obsolete since years. Wflgf (majadiliano) 09:28, 23 Julai 2025 (UTC)
Obvious behavior akin to SOVIET COMMISSAR, Maalum:Michango/~2025-32681-1 was OK! ~2025-33265-3 (talk) 19:45, 4 Agosti 2025 (UTC)
Wito wa kupiga kura kwa ajili ya Mtumiaji:Justine Msechu - awe msimamizi wa kusano
[hariri chanzo]Ndugu @Czeus25 Masele Mtumiaji:Riccardo Riccioni, unaombwa kupiga kura juu ya kumpatia uwezo wa ukabidhi/usimamizi wa kusano katika ukurasa wa Wikipedia:Wakabidhi#Msimaizi wa KUSANO - Mtumiaji:Justine Msechu. MuddybLonga 07:56, 7 Agosti 2025 (UTC)
Dogo Janja
[hariri chanzo]R.R. agreed finally with mine blank! So can thou lift BLOCK from "Dogo Janja" account now? Janja Dogo (majadiliano) 10:03, 12 Agosti 2025 (UTC)
MIS-conceptions
[hariri chanzo]Jamii:Makala_kwa_ufutaji should contain ONLY pages condemned for SPEEDY DELETE like vandalism, etc..., so do NOT use {{futa}} nor {{delete|REASON}}, but instead always use {{vyanzo}}. Hakim Abdazath (majadiliano) 14:49, 12 Agosti 2025 (UTC)
It is example of FUTA purpose. Mtumiaji:Lvova wants her userpage permanently deleted so META-hosted userpage will show. Delete Mtumiaji:Lvova for real as she wish please. ~2025-40114-5 (talk) 12:17, 16 Agosti 2025 (UTC)
- Thank you. @Riccardo Riccioni: do I have the rights to perform this action? Czeus25 Masele (majadiliano) 12:21, 16 Agosti 2025 (UTC)
- @Czeus25 Masele Usijisumbue. Ni wasumbufu wa mjini. Anakuja na jina jipya kila siku. Hicho atakacho hakina faida yoyote kwa kamusi yetu. MuddybLonga 18:16, 16 Agosti 2025 (UTC)
Use {{ping|Riccardo Riccioni}} instead, bare "@" is notifying NOBODY. ~2025-40539-0 (talk) 13:50, 16 Agosti 2025 (UTC)
- @~2025-40539-0 Si kweli. Ukiweka @ inamjulisha kama ametajwa. MuddybLonga 18:16, 16 Agosti 2025 (UTC)
Really please delete both Lvova and Mtumiaji:Lvova, she wants that to be deleted since her META user page https://meta.wikimedia.org/wiki/User:Lvova does not show from META into THIS wiki. Hakim Abdazath (majadiliano) 15:29, 17 Agosti 2025 (UTC)
- This was done. Czeus25 Masele (majadiliano) 15:45, 17 Agosti 2025 (UTC)
Kigezo:User Wikimania
[hariri chanzo]Jambo. Sorry for writing in English. Could you please tell me whether my translation on Kigezo:User Wikimania is correct? This user participated in Wikimania {{{1}}}. → Mtumiaji huyu alishiriki katika Wikimania {{{1}}}. Asante. --Volvox (majadiliano) 16:52, 17 Agosti 2025 (UTC)
- Habari! Yes your translation is correct, and thank you for creating that. Czeus25 Masele (majadiliano) 16:56, 17 Agosti 2025 (UTC)
Reverts
[hariri chanzo]Use REVERT not ROLLBACK, so it will permit edit summary editing.
Please write in EDIT summary meaningful reasons instead of using constant Maasai... mantra, example:
https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Yericko_Nyerere&action=history
In this way TEMP ACCOUNTS will understand what is going. Your and not only your habit should be changed permanently. Hakim Abdazath (majadiliano) 09:46, 19 Agosti 2025 (UTC)
- What should have been written in that matter give me an example. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:48, 19 Agosti 2025 (UTC)
In this case, instead of Maasai... HIHI HIHI...
there should be written in edit summary:
"ji jambo jemba kuendelea kuhariri makala, ila kumbuka unapoongeza taarifa fulani inahitaji chanzo kuthibitisha"
Analogously other reasons in other cases. Hakim Abdazath (majadiliano) 09:50, 19 Agosti 2025 (UTC)
- majadiliano |michango |zuia|rejesha|asante this is what I see and I normally use the bolded one Czeus25 Masele (majadiliano) 09:53, 19 Agosti 2025 (UTC)
Simply use "tengua" inside edit history instead of "rejesha" to be able to insert custom edit summaries. Hakim Abdazath (majadiliano) 09:55, 19 Agosti 2025 (UTC)
- We cannot trust outsiders, even established ones. WTF? English vandalisms restored? FYI: already reverted. Wotwo (majadiliano) 14:08, 13 Oktoba 2025 (UTC)
Misplaced Articles
[hariri chanzo]If trivial page is obstruction, delete it first. Please ALWAYS move articles misplaced on talks and userpages to ARTICLE SPACE, see special:contribs/Geoffrey_Kurara. Do NOT copypaste, it is to preserve edit history for having all contributors listed there, it is required by WMF licensing terms. Geoffrey Kurara (majadiliano) 10:43, 21 Agosti 2025 (UTC)
Old Account
[hariri chanzo]Please unblock "Jumanne Rajabu", it was overblow - ONE YEAR, i am sorry for newbie error. Jumane Rajabu (majadiliano) 15:52, 22 Agosti 2025 (UTC)
- Are you the real J4? I know he wouldn't edit his own article and without credible source. Ok 1 year was not overblow but to showcase this trend of people editing their own articles. Appology accepted. Czeus25 Masele (majadiliano) 16:01, 22 Agosti 2025 (UTC)
Of course I am the same as "Jumanne Rajabu", and this BAN-ana expected to be lifted ASAP, makes my old account useless to talk with you and R.R. on their own userpages. Jumane Rajabu (majadiliano) 16:03, 22 Agosti 2025 (UTC)
Alternatively, you can BAN-anize old "Jumanne Rajabu" account for ever. Jumane Rajabu (majadiliano) 16:10, 22 Agosti 2025 (UTC)
- I know you can still write on your userpage ref Wikipedia:Appealing a block - Wikipedia and you can appeal your block here Wikipedia:Unblock wizard - Wikipedia Czeus25 Masele (majadiliano) 17:22, 22 Agosti 2025 (UTC)
I do not need any Wizards nor Witchs and that all is on ENGLISH wikipedia separate from SWAHILI wikipedia. Simply YOU please unblock my old account when YOU accepted my apology. Jumane Rajabu (majadiliano) 17:33, 22 Agosti 2025 (UTC)
- You can still appeal if you think it was unfair block. Czeus25 Masele (majadiliano) 17:37, 22 Agosti 2025 (UTC)
- @Czeus25 Masele It's time for soul finding. Do not waste your energy on minor issues. You did your part, let the ball roll on its own. MuddybLonga 19:02, 22 Agosti 2025 (UTC)
Explanation
[hariri chanzo]META is one wiki, ENGLISH wikipedia is other wiki, SWAHILI is current wiki, GERMAN wikipedia is different wiki, etc... Telling someone to do something outside SWAHILI wiki instead locally here I do not understand. SWAHILI wiki does not contain any advanced bureaucratic scripts nor wizards, and direct addressing on talk is sole way here. Hakim Abdazath (majadiliano) 17:43, 22 Agosti 2025 (UTC)
It is NOT related to current SW-wiki at all. Yes, using of w:en:Wikipedia:Unblock_wizard will cause ENGLISH admins only to conclude that blockee is NOT blocked at all on ENGLISH wikipedia. Geoffrey Kurara (majadiliano) 18:13, 22 Agosti 2025 (UTC)
Futa
[hariri chanzo]template:futa is nothing but disfunctional deficiency, unable to convey "delete reason". Please copy full code from template:db-meta into adminprotected template:futa so "delete reason" will be since NOW supported. Reliwei (majadiliano) 08:39, 4 Septemba 2025 (UTC)
- This was done. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:49, 4 Septemba 2025 (UTC)
From protected Majadiliano ya mtumiaji:Mchizi Petro please BLANK all lines between:
"Thank you"
and
"== Mchizi Petro =="
it is ARTICLE COPY unsuitable for talk page. AlexBongo98 (majadiliano) 08:02, 5 Septemba 2025 (UTC)
So please DELETE it now wholly. AlexBongo98 (majadiliano) 18:05, 5 Septemba 2025 (UTC)
- It’s deleted Czeus25 Masele (majadiliano) 18:06, 5 Septemba 2025 (UTC)
ABBEY
[hariri chanzo]Please see Jamii:Makala_kwa_ufutaji you deleted only one ABBEY page, please delete rest, there are much more to delete. AlexBongo98 (majadiliano) 20:02, 5 Septemba 2025 (UTC)
- Some pages needs improvement and you can do improvement to rescue them. Czeus25 Masele (majadiliano) 03:46, 6 Septemba 2025 (UTC)
Kigezo
[hariri chanzo]{{tafsiri kompyuta}} ≠ {{futa}}
Uhariri ≠ Uharabu
AlexBongo98 (majadiliano) 14:51, 15 Septemba 2025 (UTC)
Please see Jamii:Makala_kwa_ufutaji you deleted only one KIGEZO page, please delete rest, there are much more to delete. 96dudi69 (majadiliano) 09:45, 29 Septemba 2025 (UTC)
Mbegu
[hariri chanzo]Ndugu, naona unapenda bango la mbegu litangulie tanbihi na marejeo, lakini si kawaida. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:58, 29 Septemba 2025 (UTC)
- Aha sikuliona hilo kwa makala ambazo bango lilikuja chini ya marejeo halafu likafuatiwa na orodha ya marejeo ndio nilirekebisha. Basi ntafanya masahihisho kwa kuongeza (Reflist) chini ya marejeo ili mbegu ije chini baada ya orodha. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 10:02, 29 Septemba 2025 (UTC)
Kevin Nyerere / Kewin Nyerere
[hariri chanzo]Now please delete all TWO instances of him since he is FICTION and FAKE, see:
Duplicate
[hariri chanzo]Please delete Δελτα and Majadiliano:Δελτα, they are duplicates of Delta and Majadiliano:Delta. Donna Wanyama (majadiliano) 08:50, 13 Oktoba 2025 (UTC)
- This was done. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:03, 13 Oktoba 2025 (UTC)
Font Leak
[hariri chanzo]See Majadiliano_ya_mtumiaji:Muddyb#Font_Leak - Comic Sans MS font leak outside Muddyb signature fixed by me. Donna Wanyama (majadiliano) 13:59, 13 Oktoba 2025 (UTC)
Editathon
[hariri chanzo]Is true that EDITATHON was yesterday? Rather TRUE! I had some fixing afterwork, even from TEMP ACCOUNT set. Wotwo (majadiliano) 14:43, 13 Oktoba 2025 (UTC)
- Which one? Czeus25 Masele (majadiliano) 08:55, 15 Oktoba 2025 (UTC)
- @Czeus25 Masele Anakutesa tu huyo kaka. Duh! Pole! MuddybLonga 13:22, 15 Oktoba 2025 (UTC)
- Ahsante sana. Czeus25 Masele (majadiliano) 13:25, 15 Oktoba 2025 (UTC)
- Ndugu, umefuta [[Jamii:Wiki for Minority Tanzania 2025]] yenye makala kadhaa ambazo hivi sasa hazina jamii tena, na jamii mpya uliyoiunda kwa ajili yake ni tupu. Itabaki hivyo mpaka utakapobadili jamii lengwa katika kila makala husika. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:37, 24 Machi 2026 (UTC)
- Ndugu @Riccardo Riccioni, ahsante kwa taarifa, ni kweli ni makosa ya kiufundi nimefanya kubadili jina la jamii na kisha kufuta jamii ya zamani, sikujua kama makala zitabaki yatima bila jamii. nitafanya juhudi ya kuzihamisha makala zote kwenye jamii mpya. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 10:56, 24 Machi 2026 (UTC)
- Ndugu, umefuta [[Jamii:Wiki for Minority Tanzania 2025]] yenye makala kadhaa ambazo hivi sasa hazina jamii tena, na jamii mpya uliyoiunda kwa ajili yake ni tupu. Itabaki hivyo mpaka utakapobadili jamii lengwa katika kila makala husika. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:37, 24 Machi 2026 (UTC)
- Ahsante sana. Czeus25 Masele (majadiliano) 13:25, 15 Oktoba 2025 (UTC)
- @Czeus25 Masele Anakutesa tu huyo kaka. Duh! Pole! MuddybLonga 13:22, 15 Oktoba 2025 (UTC)
Viewer
[hariri chanzo]Hi Czeus25 Masele, nice to see you online in the chat :-) NDG (majadiliano) 13:06, 27 Aprili 2026 (UTC)
- Hello @NDG, ahsante. I'm still familiarizing with the tool. Czeus25 Masele (majadiliano) 13:10, 27 Aprili 2026 (UTC)
- That's great for your community. I can help you with the basics. NDG (majadiliano) 13:12, 27 Aprili 2026 (UTC)
You may be an eligible candidate for the U4C election
[hariri chanzo]Greetings,
The Universal Code of Conduct Coordinating Committee (U4C) seeks candidates for the 2026 election. The U4C is the global committee responsible for overseeing enforcement of the Universal Code of Conduct. Elections are held annually, if elected a committee member serves for two years.
This year the U4C requires candidates to hold administrator rights on at least one wiki, which is why you are being contacted as you appear to hold this right. There are other requirements, such as candidates must be at least 18 years old and may not be employed by the Wikimedia Foundation or other related chapters and affiliates. You can find more information in the call for candidates on Meta-wiki. Additionally, the committee's working language is English; some ability to communicate in English is required.
The election opens on 18 May, if you are eligible and interested you have until 10 May to submit your candidacy. There will be a week in between for candidates to answer questions from the community. Voting takes place privately in SecurePoll, successful candidates must receive at least 60% support. More information is available on the 2026 Elections page, including timelines and other candidacy information. If you read over the material and consider yourself qualified, please consider submitting your name to run for the committee. If you think someone else in your community might be interested and qualified, please encourage them to run.
In partnership with the U4C -- Keegan (WMF) (talk) 20:11, 28 Aprili 2026 (UTC)Makabila
[hariri chanzo]--Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:55, 3 Mei 2026 (UTC)Ndugu, katika ukurasa kuhusu orodha ya makabila ya Tanzania umeongeza jedwali ambalo linaelekeza kila kitu kwenye Wikipedia ya Kiingereza kama kwamba ile ya Kiswahili isingekuwa na makala hazo, kumbe zipo. Naomba viungo vyote vielekeze kwenya kurasa za Kiswahili, kwa sababu zipo. Asante na amani kwako!
- Ahsante Ndugu, bado niko naendelea kuboresha zaidi. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 09:39, 3 Mei 2026 (UTC)
- Ile orodha ya awali ya makabila nimeifuta baada ya kuiunganisha na jedwali lako, ambalo bado nilifanyia kazi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:28, 6 Mei 2026 (UTC)
- Ahsante sana Ndugu @Riccardo Riccioni, spidi yangu ilikua ndogo sababu ya changamoto kadhaa, hata hivyo kuna maelezo ya ziada (comments) kwenye orodha ya zamani nitaziweka kwenye jedwali. Czeus25 Masele (majadiliano) 11:01, 6 Mei 2026 (UTC)
- Ile orodha ya awali ya makabila nimeifuta baada ya kuiunganisha na jedwali lako, ambalo bado nilifanyia kazi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:28, 6 Mei 2026 (UTC)
Ukurasa wa karibu
[hariri chanzo]Huna haja ya kukaribisha watu. Tumeweka roboti la kukaribisha watu lenyewe linafanya kazi. Usihangaike. MuddybLonga 11:07, 23 Mei 2026 (UTC)
- Ahsante natesti mitambo Czeus25 Masele (majadiliano) 11:19, 23 Mei 2026 (UTC)
Visual editor kwa miradi ya wiki
[hariri chanzo]Habari ndugu Czeus25 Masele,
Natumai u mzima. Naomba nafasi yako kidogo utupe mkono katika kuboresha mifumo yetu ya kiufundi hapa Swahili Wikipedia.
Nimeanzisha ombi kule Phabricator ili watuwezeshe kutumia VisualEditor (Mhariri Unaoonekana) kwenye kurasa za miradi na kampeni zetu (`Wikipedia:Namespace`), jambo ambalo litatupunguzia sana mzigo wa kutumia Wiki markup ngumu wakati wa kuandaa warsha, mashindano, au majedwali ya miradi.
Ili mafundi wa Wikimedia Foundation wawishe mfumo huu, wanahitaji kuona maridhiano na kura za wanajumuia wetu. Tafadhali naomba upitie hapa katika ukurasa wa Jumuiya kutoa kura yako ya Kuunga Mkono au maoni yako:
👉 Bofya hapa kushiriki na kupiga kura
Mchango wako wa sekunde chache utasaidia sana kurahisisha kazi ya waratibu na wahariri wote wa jumuia yetu. Shukrani sana. MuddybLonga 09:21, 24 Mei 2026 (UTC)
- Ahsante Mzee Czeus25 Masele (majadiliano) 04:39, 25 Mei 2026 (UTC)