Kabwe Zuberi Zitto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kabwe Zuberi Zitto
Zitto Kabwe
Zitto Kabwe
Mbunge
Bunge la Tanzania
Jimbo la uchaguzi Kigoma Kaskazini
Tarehe ya kuzaliwa 24 Septemba 1976
Chama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Tar. ya kuingia bunge 2005
Dini
Elimu yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Digrii anazoshika BA (uchumi)
Kazi mwanasiasa/mchumi
Tovuti yake http://zittokabwe.wordpress.com/


Kabwe Zuberi Zitto (amezaliwa 24 Septemba 1976) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Kwa sasa ni mlezi wa chama cha Alliance for Change and Transparency.

Alisomea uchumi Tanzania na Ujerumani. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa niaba ya Chadema alipokuwa pia Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Kimataifa.

Mwaka 2015 alijiuzulu bungeni, akatoka katika chama cha Chadema na kujiunga na chama cha Umoja wa Mabadiliko na Uwazi (Alliance for Change and Transparency, ACT). Katika uchaguzi wa 2015 alichaguliwa upya bungeni kama mgombea wa chama hiki.[1]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017

Viungo vya nje