Mtumiaji:Czeus25 Masele
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Makangabila Clement)
| Czeus25 Masele | |
|---|---|
| Uraia | Mtanzania |
Karibu katika ukurasa wangu!
Mimi ni mhariri na mchangiaji wa makala za Kiswahili katika Wikipedia ya kiswahili kutoka nchini Tanzania. "Njia nzuri ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza, na kusoma sana huuchosha mwili lakini kujifunza hakuchoshi akili"
Masanduku ya Mtumiaji
| Userbox | |||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Majadiliano
Warsha ya Astronomia kamusi
Nikiwa katika warsha ya kamusi astronomia.

.
Wiki Loves Women
Katika Editorthon ya WikiLoves women, nilipata fursa ya kujifunza kuandaa Jamii na Metadata.
Katika Picha nikiwa na Mwalimu wangu Ingo Koll.

.
Maktaba
Makangabila.jpg
Kukaribisha
Nimejikita sana kukaribisha wageni na kuwapa muongozo wa wikipedia ya kiswahili. Badiliko hili ni la 1000 tangu nmeanza uandishi.
Kigezo kipya
Hariri ya 2600
Hii ni hariri yangu ya 2600.