Mtumiaji:Czeus25 Masele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


Czeus25 Masele
Amezaliwa25 Novemba 1993(1993-11-25)
UraiaMtanzania


Karibu katika ukurasa wangu!

Mimi ni mhariri na mchangiaji wa makala za Kiswahili katika Wikipedia ya kiswahili kutoka nchini Tanzania. "Njia nzuri ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza, na kusoma sana huuchosha mwili lakini kujifunza hakuchoshi akili"

sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
Majadiliano[hariri | hariri chanzo]

  • Karibu katika ukurasa wangu wa majadiliano kwa kufungua hapa [[1]]
Warsha ya Astronomia kamusi[hariri | hariri chanzo]

Nikiwa katika warsha ya kamusi astronomia.

Nikiangalia nyota

.

Wiki Loves Women[hariri | hariri chanzo]

Katika Editorthon ya WikiLoves women, nilipata fursa ya kujifunza kuandaa Jamii na Metadata.

Katika Picha nikiwa na Mwalimu wangu Ingo Koll.

Warsha ya WikiLoves Women

.