Nenda kwa yaliyomo

Kituo cha reli Luebeck Travemuende Strand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa kituo.

Kituo cha reli Luebeck Travemuende Strand ni kituo cha garimoshi kilichopo Lübeck katika wilaya ya Travemünde huko Ujerumani katika jimbo la Schleswig-Holstein. Ni moja ya maeneo yanayolindwa na sheria ya urithi na ni kimoja kati ya vituo vitatu vilivyopo Travemünde.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kituo cha reli Luebeck Travemuende Strand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.