Lübeck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Lübeck

Bendera

Nembo
Lübeck is located in Ujerumani
Lübeck
Lübeck

Mahali pa mji wa Lübeck katika Ujerumani

Majiranukta: 53°52′0″N 10°41′0″E / 53.86667°N 10.68333°E / 53.86667; 10.68333
Nchi Ujerumani
Jimbo Schleswig-Holstein
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 210,892
Tovuti:  www.luebeck.de
Kitovu cha mji wa Lübeck
Lubeck katika karne ya 15.

Lübeck ni mji wa jimbo la Schleswig-Holstein nchini Ujerumani.

Mji uko kando ya mto Trave karibu na pwani ya Baltiki.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 210,892.

Mji ulianzishwa mwaka 1143.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lübeck kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.