Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Wakabidhi/3

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukurasa mama: wikipedia:Wakabidhi

Ukurasa huu una michango kuanzia 2009 hadi 2013

Uteuzi (Nominations)

[hariri chanzo]

Upige kura kukabidhi mtumiaji awe mkabidhi. Mkabidhi akiwa na kasa kura mbili ya kuunga mkono (bighairi ya kura ya mteuzi), ni lazima atateuliwa tena Wikipedia ya Kiswahili itakapokuwa imeshughulika. (Please vote below to accept the listed users as admins. Any admins created with fewer than 2 support votes (other than that of the nominator) should be renominated once sw: becomes more active.)

Hifadhi ya majadiliano ya awali yamejaladiwa hapa:

Hi, I've been editing on en:Wikipedia since 2004 and I have over 11,000 edits on en. On en, I have created and worked on geography categories in Africa and Asia (eg Niger River and Cairo}, and have written articles about companies and government agencies in Vietnam, Cambodia, Tanzania etc, as well as writing geography articles on Korean and Chinese Wikipedia (eg States of Mexico, States of Nigeria). Since starting at Swahili Wikipedia I have created and improved sets of geography articles and stub categories. In my spare time I listen to hip hop and sports radio and read Chinese news articles. I have an interest in computer security and I run Wireshark on my computer. Thank you very much. --Mr Accountable (majadiliano) 13:44, 2 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

He nominated himself to become an administrator on the Swahili Wikipedia. He's been doing a lots for our homewiki and now it's about time to become one of the admin who are serving this wikipedia. As far as I know him, I've got no doubts on him! So, let's bring him on.

Support

[hariri chanzo]
  1. Ninamwunga mkono bwana Mr Accountable.--Muddyb MwanaharakatiLonga 18:16, 28 Novemba 2009 (UTC)[jibu]
  2. Tanzania - see Swedish wikipedia 22:36, 28 Novemba 2009 (UTC) I have not seen anything bad that he has done yeat, anyway. Mimi hawajaona kitu mbaya (?).. Tanzania - see #Swedish wikipedia 22:36, 28 Novemba 2009 (UTC)[jibu]
  3. I vote for Mr. Mr Accountable as administrator Jhendin (majadiliano) 01:39, 29 Novemba 2009 (UTC)[jibu]
  4. Kwa kweli anajitahidi. Na apite. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:04, 29 Novemba 2009 (UTC)[jibu]
  5. Trustworthy and acountable. Sj (majadiliano) 00:59, 1 Desemba 2009 (UTC)[jibu]


Imefanyika.--Muddyb MwanaharakatiLonga 14:03, 2 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Neutral

[hariri chanzo]

Wakabidhi wasioonekana

[hariri chanzo]

Tuna wakabidhi kadhaa ambao hawaonekani tena sana. Kwa kutazama "user contributions" napata:

  • Neno: alichangia 8 Januari 2005 safari ya mwisho
  • Sj: 1 Februari 2007 safari ya mwisho

Kuna wengine walioonekana mara chache tu kwa mfano

  • Marcos: alionekana Desemba 2007 na kabla ya hayo alikuwa kimya tangu Juni 2007.
  • Ndesanjo: hakuonekana kati ya Oktoba 2006 na Mei 2007. Tangu Mei ameonekana karibu kila mwezi.
  • Matt Crypto alionekana mara ya mwisho 8 Julai 2007. Kuna tatizo la ziada kuwa yeye ni bureaucrat yetu na hajibu tena. Hapa ni sababu naunga mkono kumteua mwingine.

‎ Hawa wote ni wanawikipedia waliojitolea sana kujenga wikipedia ya Kiswahili lakini kwa sababu zao hawakuweza au hawakupenda kuendelea jinsi ilivyokuwa awali.

Naomba tuelewane: Upande wa heshima hawastahili kupungukiwa nafasi hii ya mkabidhi. Kwa upande wa kazi mara nyingi hawako na hawawezi kusaidia kitu. Kila wikipedia ni huru kuweka utaratibu wake.

Pendekezo:

  • Mkabidhi asiyeonekana kwa muda wa miezi mitatu anatazamiwa amepumzika. Jina lake litahamishwa kwa nafasi ya "Wakabidhi mapumzikoni".
  • Akionekana tena atarudishwa kati ya wakabidhi baada ya kuchangia mara tatu.
  • Akikaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja atahamishwa katika orodha ya "Waliokuwa wakabidhi". Akionekana tena atarudishwa (kama juu). --User_talk:Kipala 08:56, 1 Februari 2008 (UTC)[jibu]
Sawa, lakini haitatatua shida yetu ya ukosefu wa waandishi, wakabidhi na mabureaucrat, hususa wasemao Kiswahili kwa lugha ya kwanza. ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)[jibu]
Nimemwondoa Neno kutoka katika kundi la wakabidhi. Wote wengine wamebaki. Hata Sj ameonekana tena mwezi wa Februari 2008; pia ni 'steward' kwa hiyo anastahili kuwa mkabidhi hata akitusaidia mara chache tu. --Oliver Stegen 13:33, 7 Machi 2008 (UTC)[jibu]
Nimegundua kwamba hata kama 'bureaucrat' siwezi kumwondoa mkabidhi. Haya, Neno amebaki na haki za mkabidhi. --Oliver Stegen 13:38, 7 Machi 2008 (UTC)[jibu]
Kama wewe Mrasimu huna mamlaka ya kumuondoa, ni nani basi anayeweza? Pengine mtu ameshakufa (mawasiliano yetu hayaleti taarifa ya kifo), lakini anabaki mkabidhi milele! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:33, 26 Julai 2009 (UTC)[jibu]

Pendekezo la kufuta wakabidhi kwenye orodha baada ya muda mrefu wa kutoshiriki

[hariri chanzo]

Wakabidhi/Mabureaucrat wanaotakiwa kutolewa haki za usimamizi Hii inatakiwa tukubaliane wote juu ya kuondoshwa kwa haki za usimamizi kwa watumiaji hawa. Orodha inayoonekana chini ni watumiaji wasionekana kwa kipindi kirefu. Haya ni makubaliano baina ya watumiaji waliopotea na sisi tuliopo hapa. Chini yake, kuna hali ya kuchagua kuondoshwa au kubakishwa. Ukiwa unataka kubaki na haki za usimamizi wako, basi weka tiki kwenye "ndiyo". Ikiwa hutaki kubaki na usimamizi wako, basi weka "hapana".


    • Neno huyu tutamtoa tu. Kwa sababu ni muda mrefu sana hayupo.

Haya ni maelewano baina ya watajwa hapo juu na sisi wanajumuia tuliobakia. Ukitaka kujua kama watu michango yao ni hafifu, basi tazama orodha hii utaona utofauti wake.

Maelezo

Je, mnaonaje wanajumuia wenzangu?--Mwanaharakati (Longa) 15:44, 10 Julai 2009 (UTC)[jibu]

Naomba utueleze utaratibu unataka kumwondoa mtu baada ya muda gani au kwa kuangalia masharti gani. --Kipala (majadiliano) 00:12, 11 Julai 2009 (UTC)[jibu]
Haya, Kipala anaulizia masharti na sera za kuondoa mtu kutoka katika ukabidhi! Nimejaribu kufuatilia kwa wenzetu na nimeona wanawatoa watu katika ukabidhi hadi itakapofikia mwaka mmoja. Pia kwa waliowastarabu wakiona siku hizi hawapo tena katika miradi ya wiki, basi huenda kule Meta na kuomba watolewe katika usimamizi (Removal of Access). Sasa hapa ninapendekezo moja ama mawili. Tukubaliane tumtoe Matt na Neno ambao kwa sasa au hata baadaye hawaji teena!! Hivyo tuwaondoeni tu. Mnaonaje?--Mwanaharakati (Longa) 12:08, 14 Julai 2009 (UTC)[jibu]
Unavyoweza kuangalia hapo juu, Kipala nami tumejaribu kuwaondoa wakabidhi wasioonekana mwanzoni mwa mwaka jana bila kufaulu. Na kweli, watu wachache mno wameingia katika majadiliano hayo. Wasipoona haja kuwaondoa wengine na wasipotoa maoni yao, naona hatuna njia. Kwa vyovyote hata wakabidhi hao wakibaki, wikipedia yetu haitapata hasara. Wakiondolewa lakini na kurudi baadaye, ladba tutapata hasara (k.m. tungekosa msaada wao wa baadaye). Mawazo yangu tu. --Baba Tabita (majadiliano) 06:29, 21 Julai 2009 (UTC)[jibu]
Haya, kumuondoa mtu kwenye haki za usimamizi ni kazi ya Steward. Kinachotakiwa ni kuonyesha nani na nani wanaotakiwa kutolewa haki za usimamizi wao. Haina haja kufanya hivyo kwa kurejea sentensi hii:

Wasipoona haja kuwaondoa wengine na wasipotoa maoni yao, naona hatuna njia. Kwa vyovyote hata wakabidhi hao wakibaki, wikipedia yetu haitapata hasara. Wakiondolewa lakini na kurudi baadaye, ladba tutapata hasara (k.m. tungekosa msaada wao wa baadaye).


Nitafuta orodha tajwa hapo juu.--Mwanaharakati (Longa) 06:55, 21 Julai 2009 (UTC)[jibu]

Kwa upande wangu, naona ni shida kuwa na mkabidhi ambaye hafiki hata kusoma barua zake. Kwa mfano, mimi sifanyi kazi nyingi ya mkabidhi, lakini mara kwa mara natumwa ujumbe kusaidia na kitu fulani, na naweza kwa ajili ya ukabidhi wangu. Lakini hawa jamaa hawafiki hata kujibu ujumbe, hivyo nakubali kuwafuta kutoka orodha. Malangali (majadiliano) 10:54, 27 Julai 2009 (UTC)[jibu]

Kuondoa wakabidhi ambao hawakushiriki tena tangu miezi kumi au zaidi

[hariri chanzo]

Kura ya kuondoa wakabidhi waliopotea

[hariri chanzo]

Baada ya kugundua njia ya kupeleka ombi la kuondoa haki za wakabidhi ambao hawakushiriki tena naorodhesha rasmi majina yafuatayo kama pendekezo la ufutaji. Naomba kila mmoja anayekubali au kupinga aweke sahihi yake ~~~~ kwa kila jina. (naingiza majina ya kale tuliyotangaza wamefutwa lakini sina uhakika kama Meta walipata taarifa). Majina ya wale waliopata kura tatu angalau za kuondolewa (bila kura za kupinga) yatapelekwa kwa wahusika upande wa Meta.

Nimepeleka leo majina ya Matt Crypto na Neno kwenda Meta kwa ufutaji. Majina mengine hayakukubaliwa katika kura hii Kipala (majadiliano) 10:48, 6 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]

1.Matt Crypto (mchango wa mwisho 8 Julai 2007)

Ninakubali aondolewe haki za mkabidhi: Kipala (majadiliano) 14:22, 29 Septemba 2010 (UTC) ; --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:23, 1 Oktoba 2010 (UTC) ; --MwanaharakatiLonga 17:00, 29 Septemba 2010 (UTC); Lloffiwr (majadiliano) 11:45, 2 Oktoba 2010 (UTC); ChriKo (majadiliano) 10:44, 3 Oktoba 2010 (UTC); Malangali (majadiliano) 18:32, 4 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]
Sikubali: ;

2. Neno (mchango wa mwisho 8 Januari 2005 )

Ninakubali aondolewe haki za mkabidhi: Kipala (majadiliano) 14:22, 29 Septemba 2010 (UTC) ; --Baba Tabita (majadiliano) 19:05, 29 Septemba 2010 (UTC) ; --MwanaharakatiLonga 17:00, 29 Septemba 2010 (UTC); --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:23, 1 Oktoba 2010 (UTC); Lloffiwr (majadiliano) 11:45, 2 Oktoba 2010 (UTC); ChriKo (majadiliano) 10:44, 3 Oktoba 2010 (UTC); Marcos (majadiliano) 15:47, 3 Oktoba 2010 (UTC) - Hajaandika yoyote katika Wikipedia ya Kiswahili kwa kipindi kinachozidi miaka mitano.; Malangali (majadiliano) 18:32, 4 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]
Sikubali: ;

3. Flowerparty (mchango wa mwisho 11 Septemba 2009)

Ninakubali aondolewe haki za mkabidhi: Kipala (majadiliano) 14:22, 29 Septemba 2010 (UTC) ; --Baba Tabita (majadiliano) 19:05, 29 Septemba 2010 (UTC) ; --MwanaharakatiLonga 17:00, 29 Septemba 2010 (UTC);[jibu]
Sikubali: Lloffiwr (majadiliano) 12:08, 2 Oktoba 2010 (UTC) - ningependa tusubiri kidogo, tumpe nafasi ya kusema mwenyewe; ChriKo (majadiliano) 10:44, 3 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]

4. Marcos (mchango wa mwisho 28 Oktoba 2009)

Ninakubali aondolewe haki za mkabidhi: Kipala (majadiliano) 14:22, 29 Septemba 2010 (UTC) ; ; --MwanaharakatiLonga 17:00, 29 Septemba 2010 (UTC);[jibu]
Sikubali: Lloffiwr (majadiliano) 12:08, 2 Oktoba 2010 (UTC) - ningependa tusubiri kidogo, tumpe nafasi ya kusema mwenyewe; ChriKo (majadiliano) 10:44, 3 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]

5. Ndesanjo (mchango wa mwisho 22 Novemba 2009)

Ninakubali aondolewe haki za mkabidhi: Kipala (majadiliano) 14:22, 29 Septemba 2010 (UTC) ; ; --MwanaharakatiLonga 17:00, 29 Septemba 2010 (UTC);[jibu]
Sikubali: --Baba Tabita (majadiliano) 19:05, 29 Septemba 2010 (UTC); Lloffiwr (majadiliano) 12:08, 2 Oktoba 2010 (UTC) - ningependa tusubiri kidogo, tumpe nafasi ya kusema mwenyewe; ChriKo (majadiliano) 10:44, 3 Oktoba 2010 (UTC); Marcos (majadiliano) 15:47, 3 Oktoba 2010 (UTC) - Ndesanjo alikuwa kwa miaka mingi mtunzi hodari katika Wikipedia ya Kiswahili. Sasa amepumzika kwa miezi kumi tu.; Alitunza sw.wikipedia sana wakati ilikuwa ndogo, sasa ana haki ya kubaki akitaka. Malangali (majadiliano) 18:32, 4 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]