Mtumiaji:Baba Tabita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Baba Tabita
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Admin mop.PNG Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.

Tarehe 15 Januari 2016 nimefikisha michango 50,000.

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!