Wikipedia:Bureaucrats

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bureaucrat (ni neno ya Kiingereza, maana ni mfanyakazi ya uendeshaji ya serikali au ushirika nyingine) ana uwezo kufanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa kiingereza). Hapo chini ni orodha ya Mabureaucrat waliopo katika Wikipedia hii: