Majadiliano ya Wikipedia:Bureaucrats
Mandhari
Mbona Matt Crypto hayuko tena? Kipala (majadiliano) 16:35, 6 Oktoba 2010 (UTC)
- Mzee wangu, utaratibu si ni uleule? Yaani, panapoonekana kuna tatizo, basi mwingine anarekebisha!--MwanaharakatiLonga 17:23, 6 Oktoba 2010 (UTC)
- Nilipoandika sikutambua ni makala ya kale maana niligonga ile makala mpya bila kutambua ilikuwa kielekezi tu. Kipala (majadiliano) 17:42, 6 Oktoba 2010 (UTC)
- Huku Dar kuna msemo wa msimu mmoja utasikia: "UMEONA EEH"! Basi hivyo ndivyo hali ilivyo!--MwanaharakatiLonga 17:49, 6 Oktoba 2010 (UTC)