Majadiliano ya mtumiaji:Marcos

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusaidia na kukosoa[hariri chanzo]

Ningetaka kusaidia katika kutafsiri. na kuandika makala ya Kiswahili hapa Wikipedia. Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza, mimi ni mkazi wa Kenya. --Mugii, 27 November 2012


Msaada wa Kutengeneza Template[hariri chanzo]

Shikamoo Ndugu Marcos, natumai upo salama ninas swali na shida ya Template, naomba uunde template itakayo kuwa inazungumzia wasanii kwa mfano, Aina ya Sanaa, Jina, Kuzaliwa, Mwanachama wa,Mke/Mue, Tuzo, Tovuti. inabidi iwe hivyo au kama wewe binafsi utakavyo ona inafaa lakini ilenge upande wa Sanaa ili akiwa muigizaji tutamuwekea muigizaji akiwa muimbaji tutaweka kama muimbaji, na pia kuna sehemu nilijaribu kuweka lakini katika kubadili ikataa hivyo unaweza kuipata hiyo template kwa kupitia anuani hii http://sw.wikipedia.org/wiki/Template:Wasanii na ukaanza kuifanyia marekebisho kadhaa ili iweze kufanya kazi, nategemea majibu hivi karibuni mungu akipenda kazi njema. wako katika ujenzi wa Wikipedia --Muddyb Producer 11:30, 7 Septemba 2007 (UTC)Muddyb Blast Producer

Swali: Jinsi ya kutaja makala[hariri chanzo]

Salaam, nakuandikia sasa kama mratibu wa kamusi yetu. Baada ya kuandika makala kadhaa ninahisi kuwepo kwa tatizo lifuatalo: namna ya kutaja majina ya makala. Sijamaliza bado kutafakari swali hilo nikaona niulize tu. Hasa kwa sababu sijui mfano wa kitabu cha kamusi elezo kilichochapishwa kwa Kiswahili (isipokuwa kamusi za lugha yenyewe). Hivyo wikipedia ni mtangulizi kabisa!

Nisipokosea kuna tatizo kwa sababu ya muundo wa kamusi ya A-B-C kwa upande moja na kwa upande mwingine tabia ya Kiswahili kinachopendelea viambishi awali.

Nimeandika makala kadhaa kuhusu mikoa ya Tanzania. Kila makala ipo chini ya herufi "M" = mkoa. Sasa mikoa kuna 26 Tanzania, halafu Kenya, tukiendelea vizuri kuhusu nchi mbalimbali tutaongeza mikoa mingi sana - kila moja si kwa jina la mahali bali kwa neno "Mkoa" kwanza ? (Kidogo kama kwa Kiingereza tungeona nchi haimo kwa jina lake lakini ama kwa "R" ya "Republic of..." au "K" kama "Kingdom of" au "U" kama "United Kingdom, United republic..." n.k.) JE HII NI TATIZO AU SIVYO??

Halafu kutaja lugha au kabila au taifa: katika utaratibu wetu tungepata makabila na mataifa yote kwa herufi ya "W" - sivyo? Yaani Waarabu, Wajerumani, Wachagga, Wamassai ... halafu lugha zote kwa "K" yaani Kiswahili, Kiesperanto, Kiingereza n.k. JE HII NI TATIZO AU SIVYO??

Katika kamusi za lugha kuna njia mbili: Madan-Johnson huratibu maneno ya Kiswahili kufuatana na neno la msingi (kwa mfano: -Swahili: Kiswahili, Mswahili, Waswahili, Uswahili; -chunga: kuchunga, mchunga, mchungaji, machunga, machungani)---- Kamusi ya Kiswahili sanifu hufuata A-B-C jinsi lilivyo umbo la neno (Kiswahili kwa "K", Mswahili kwa "M", Uswahili kwa "U") lakini ina majina machache tu!

Je, kuna tayari maelewano juu ya hayo? Kuna maarifa ya lugha nyingine yenye tabia ya viambishi awali kama Kiswahili? --Kipala 20:45, 17 Januari 2006 (UTC)[jibu]

Hiyo siyo tatizo. Wikipedia haitakuwa kitabu cha karatasi kama kamusi za zamani. Ni kitabu cha mtandao tu. Hapa watu wanaweza kutafuta makala kwa kutumia ala "tafuta" upande wa kushoto, na watapata makala hata kama hawaingizi jina zima. Marcos 21:02, 18 Januari 2006 (UTC)[jibu]
Si rahisi hivyo. Hali halisi "Tafuta" mara nyingi haifanyi kazi. Jaribu "ingereza". Mimi sipati kitu. lakini tunayo makala ya "Kiingereza". Kuna mifano mingine. Wakati mwingine tunapata, safari nyingine hapana. --Kipala 23:10, 18 Januari 2006 (UTC)[jibu]
Hiyo ni kwa sababu "ingereza" si neno la Kiswahili, na kwa hiyo halitumiki katika Wikipedia. Mtu anaweza kuingiza Kiingereza, Uingereza au Waingereza, na kila wakati atapata kitu. Kwa kweli, sioni tatizo. Marcos 20:56, 19 Januari 2006 (UTC)[jibu]
Ndio jamani. Ni ajabu, nimesoma mjadala lakini sijaelewa vizuri tatizo linaloongelewa hapa ni lipi.Ndesanjo 13 Machi Januari 2006
Nimeona tatizo namna ya kutaja majina ili yapatikane rahisi. Vitabu hutaja kwa jina la familia ikifuatwa kwa majina ya kwanza. Hapo kwa mfano tuna makala ya "Mwai Kibaki". Anajulikana pia kama "Emilio Mwai Kibaki". Sijui kama kuna jina lingine lisilojulikana sana. Marcos anasema kweli hatuna tatizo hili kwa sababu makala itapatikana kwa namna yeyote kwa njia ya "tafuta" sababu hatuandiki kitabu bali mtandanoni; tukiingiza "Kibaki" au "Mwai" katika dirisha la "tafuta" tunampata. Hiyo ni sawa kimsingi ingawa maarifa yangu ni mara kadhaa sipati kitu kwa "tafuta" hata nikijua kipo kabisa. Dawa lake labda ni kuweka kurasa za #REDIRECT kama vile "Emilio Mwai Kibaki" na "Kibaki" zikielekeza "Mwai Kibaki". --Kipala 06:33, 14 Machi 2006 (UTC)[jibu]
Hata mimi mara kadhaa huwa natafuta mambo kadhaa ambayo yako ndani ya kamusi elezo lakini sipati. Sasa kuweka #REDIRECT inabidi kuanzisha ukurasa mpya, kwa mfano wa Emilio Mwai Kibaki, ili kuekeleza kwenye ukurasa mkuu? Ndesanjo 15 Machi Januari 2006
Ndiyo; baada ya kumaliza makala yenyewe unaweza kutengeneza kurasa hizi za kupeleka mbele; makala kuu "Mwai Kibaki", baadaye makala mawili ya "Kibaki" na "Emilio Mwai Kibaki". Mimi nimewahi kufanya hivyo hata kwa makala ya mtu mwingine baada ya kuitafuta na kuipata kwa matata tu nimeandika makala ya kupeleka mbele. Inasaidia. --Kipala 17:07, 16 Machi 2006 (UTC)[jibu]

Naomba usaidizi[hariri chanzo]

Hujambo Marcos, sikuzilizopita nimechukua nafasi ya kuandika makala kadhaa. Lakini nina tatizo kuweka picha. Una nafasi ya kunishauri kidogo? --Kipala 19:56, 27 Desemba 2005 (UTC)[jibu]

Marcos,asante kwa jibu na maelezo. Kwa hiyo njia unyopendekeza ni kupakua kwanza kutoka makala fulani ya wiki halufu kuipakia tena katika makala yangu ya kiswahili. Sawa. Lakini mara kadhaa nimefaulu kunakili picha moja kwa moja nikiibandika tu kutoka ukurasa wa kuhariri na kuipakia katika maandishi yangu. Unajua kwa nini nafanyikiwa wakatimoja lakini nashindwa wakati mwingine? --Kipala 21:43, 6 Januari 2006 (UTC)[jibu]
Sijakuelewa. Ulifanya nini? Sasa unaweza kutumia picha, au bado? Marcos 23:39, 8 Januari 2006 (UTC)[jibu]

Salaam, Marcos! Niongeze swali: jinsi gani kutimia ile "kuelekeza" (redirect); kwa mfano: tulikuwa na majadiliano kuhusu "Abu Nuwas" au "Abunuwasi"; sasa tunahitaji nafasi ya kupeleka watu wanaotafuta "Abunuwasi" wafike "Abu Nuwas". Nilipoanza nineshwahi kuandika makala mapya yenye maneno mawili tu "taz. xxx" lakini labda si njia yenyewe (Kipala)--Kipala 08:00, 7 Januari 2006 (UTC)[jibu]

Picha bado zinaleta matizo. Angalia http://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa_wa_Iringa. Nimepakua kutoka Wikipedia ya Kijerumani na kuipakia - lakini haionyeshi. Unaonaje?
Basi nimeelewa kosa - jinalilibadilika wakati wa kupakua!--Kipala 19:18, 15 Januari 2006 (UTC)[jibu]

Asante sana sana[hariri chanzo]

Habari, Marcos!

Ninakushukuru kwa kazi nzuri yako.

Binafsi nafanya kazi katika Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania. Hivi sasa tupo katika mradi unaojaribu kutengeneza mitambaa iliyo mwafaka kwa watanzania waishio sehemu za vijijini. Tungelipenda nafasi ya kubadilisha lugha na ikiwezekana mwonekano wa chombo hiki ili uweze kutumika kukusanya maarifa ya asilia yaliyepo miongoni mwa watanzania waishio vijijini.

Je, unasemaje? Je, inawezekena kwetu kubadili mwonekano, au sharti tuache mwonekano kama ulivyo na tunaweza kubadili lugha tu?

Naomba majibu kupitia anuani ifuatayo kalufya@costech.or.tz CC: tmlaki@costech.or.tz

Wako, Ali Ayub Kalufya, Principal Scientific Officer, Tanzania Commission for Science and Technology, Dar es salaam, Tanzania

Please see: India 59.183.30.103 07:35, 29 Mei 2005 (UTC)[jibu]

Free Software for Schools[hariri chanzo]

Hi there, aparently, you speak Kisuaheli. Some people from Tanzania or Kenya asked me about free software for schools. I pointed them to projects like kde-edu and debian-edu. Alas, there is no corresponing articles in sw.wikipedia.org yet.

Hence I'd like to ask you kindly if you could do some stubs for kde/kdeedu or Linux, especially after Jimmy Wales announced a partnership between Wikipedia and KDE.

Thanks Ralf


Category/Babu[hariri chanzo]

Marcos, User:Kipala amesema kwamba "Babu" haifai kwa "Category". Amependekeza "Jamii" au "Kundi". Tuzumgumze MediaWiki talk:Category. Matt Crypto 19:54, 19 Aprili 2006 (UTC)[jibu]

Saluton Marcos! We have some documentation available now. Please take a look! Best regards Gangleri · T · m: Th · T 02:11, 27 May 2006 (UTC)


Templeti - masanduku ya habari[hariri chanzo]

Marcos, salaamu. Tunahitaji msaada kuhusui masanduku ya habari za uainishaji (taxobox) na mito. Nimemwomba Matt kwa sababu aliwahi kutengeneza ile ya nchi. Ila tu hakuonekana kitambo. Kama wewe una nafasi: asante sana! Ukiwa nayo: angalia majadiliano kwa Matt. --Kipala 18:49, 30 May 2006 (UTC)

Jambo Marcos. Asante sana kwa kutengeneza templeti ya sanduku ya uainishaji. Lakini sikubali tafsiri ya neno la "genus". Tafadhali tumia "jenasi" badala ya "jenera". ChriKo 12:29, 31 May 2006 (UTC)

Nadhani ni kweli "jenasi". Nilipata "jenera" katika "kamusi ya sayansi na teknolojia" ya TUKI - lakini kwa vitabu vya TUKI afadhali kulinganisha zaidi ya kimoja na kweli: vingine vina "jenasi". --Kipala 12:41, 31 May 2006 (UTC)

Template:Ziwa[hariri chanzo]

Marcos, naomba unisaidie kusahihisha hii templeti. Nimeitengenezea, inafanya kazi ila tu mstari moja wa "mito inayoingia" inagoma. Sioni kosa lakini lipo. Asante --Kipala 14:36, 6 Juni 2006 (UTC)[jibu]

Nimeitoa kosa. Ulikuwa umeandika "mito inyaoingia" badala ya "mito inayoingia" katika karasa ulipoitumia templeti hiyo. Marcos 17:29, 6 Juni 2006 (UTC)[jibu]


Infobox Country[hariri chanzo]

Marcos, habari zako? Ukipata nafasi nitashukuru kama unasahihisha templeti ya Infobox Country. Matt aliitegeneza kabla ya kupumzika. KUna tatizo ya kwamba aliyotengeneza ina nafasi moja tu ya

  • Lugha rasmi {{{official_languages}}}
  • Serikali {{{leader_titles}}} {{{leader_names}}}
  • Independence {{{established_events}}} {{{established_dates}}}

Lakini masanduku tunayonakili mara nyingi yana nafasi mbili au tatu.

Angalia mfano wa Uhindi. --Kipala 13:45, 15 Julai 2006 (UTC)[jibu]

Haikuwa lazima kusahihisha templeti. Kulikuwa na makosa ya kuitumia templeti katika ukarasa Uhuindi. Nimesahahisha makosa haya. Angalia ili uelewe. Marcos 12:15, 16 Julai 2006 (UTC)[jibu]

Congratutalions, and some questions[hariri chanzo]

Hi Marcos. I hope you understand English. Congratulations with the 1000 articles in Swahili! It's just great! It's probably the first encyclopedia in an original African language with more than 1000 articles, or?

I have been involved in Wikipedias in several other African languages, such as Bambara. I will be speaking about the Wikipedias I have been involved in. And I would be grateful if you could answer some questions. Also, any other remarks are welcome.

1. Where are you from? Where did you learn Swahili?

I'm from Germany. More precisely, I'm from a German Argentinian family which returned to Germany in 1989, i.e. when I was aged 5.
I learned Swahili during my gap year in Tanzania in 2003. More precisely in Iringa region, so my pronounciation isn't the standard coastal pronounciation.

2. When did you hear about Wikipedia? And when about the Swahili Wikipedia? When did you start to contribute?

I first heared about Wikipedia at a talk about it at the Youth Esperanto Congress 2002 in Pato Branco, Brasil. I became actively involved into the Esperanto Wikipedia in autumn 2003. Soon after I looked for the Swahili Wikipedia, which already existed, but didn't have a single encyclopedic article, nor a good introduction on the Main Page. I started contributing around January 2004 with the first proper articles and the introduction on the Main Page.

3. What do you think about the future of this project?

I hope that as Internet access becomes more common in East Africa, the number of native contributers will soon increase. This will then hopefully lead to a quicker increase in quality and quantity. Marcos 09:36, 26 Agosti 2006 (UTC)[jibu]

thanks, Guaka 20:37, 3 Agosti 2006 (UTC)[jibu]


Format Problem[hariri chanzo]

Marcos, I send this problem to several of you admin people as most of you have been very kimya these days. Who can fix it? --Kipala 22:32, 13 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Hello Kipala. Now that you are back, I would like to draw your attention to something which I find difficult to explain in Swahili. Have you noticed that since a while the lines that separate the sections of the articles are visible inside the taxoboxes? This is not the case in other Wikipedias. Can this be fixed? ChriKo 21:42, 13 Septemba 2006 (UTC)[jibu]


Format problem persisting[hariri chanzo]

Kindly have a look at Uswidi. Textbox country is being overwritten ba gallery. We had this before with taxoboxes and the inset windowa of templates like "mbegu". Any idea how to help? --172.173.123.124 19:51, 5 Oktoba 2006 (UTC)[jibu]

Marcos je bado uko hai upande wetu? Tunajisikia hatuna wakabidhi tena! -- --Kipala 19:44, 29 Januari 2007 (UTC)[jibu]

Mimi siku hizi sina muda mwingi kwa kushirikiana sana katika kazi ya kukuza Wikipedia, lakini naweza kufanya kazi ya ukabidhi ukiniambia nifanye nini. Marcos 22:57, 9 Februari 2007 (UTC)[jibu]

Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?[hariri chanzo]

Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "Msaada wa kuanzisha makala" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna tatizo lolote tukitaka kuruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? (Naomba jibu kwenye ukurasa Wikipedia:Jumuia) --Kipala 21:00, 27 Februari 2007 (UTC)[jibu]

Końskowola - Poland[hariri chanzo]

Could you please write a stub http://sw.wikipedia.org/wiki/Ko%C5%84skowola - just a few sentences based on http://en.wikipedia.org/wiki/Ko%C5%84skowola ? Only 3-5 sentences enough. Please.

P.S. If You do that, please put interwiki link into english version. 123owca321 16:12, 9 Juni 2007 (UTC)[jibu]

Uchaguzi[hariri chanzo]

Kuna mapendekezo mapya kwa Wakabidhi na bureaucrat. Naomba angalia ukurasa http://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi --User_talk:Kipala 09:04, 1 Februari 2008 (UTC)[jibu]

Dear Marcos; please look at the links at commons:user:i18n#useful links. Thanks in advance! Best regards Gangleri
‫·‏לערי ריינהארט‏·‏T‏·‏m‏:‏Th‏·‏T‏·‏email me‏·‏‬ 13:07, 7 Februari 2008 (UTC)[jibu]

Uteuzi mpya[hariri chanzo]

Kuna pendekezo jipya kwa bureaucrat. Naomba uangalie ukurasa wa wakabidhi. --Oliver Stegen 09:16, 1 Machi 2008 (UTC)[jibu]

Nimemteua Mwanaharakati achaguliwe kuwa msimamizi mkuu pamoja nasi (b'crat). Naomba upige kura kwenye ukurasa wa wakabidhi. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 07:12, 28 Mei 2009 (UTC)[jibu]

Kuondoa haki za usimamizi kwa baadhi ya watumiaji[hariri chanzo]

Marcos, salam! Unatakiwa utoe mawazo yako juu ya kuondoshwa kwa haki za usimamizi kwa baadhi ya watumiaji wasionekana kwa kipindi kirefu sana. Orodha hiyo unaweza kuipata hapa. Ahsante na kila la kheri.--Mwanaharakati (Longa) 16:21, 10 Julai 2009 (UTC)[jibu]

mradi wa Google kwa ajili ya wikipedia yetu[hariri chanzo]

Marcos, salaam!
Nimepata mawasiliano kutoka Christine Moon huko Palo Alto, California. Yeye anafanya kazi kwa shirika la Google, nao wameanza kupanga mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwa wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!
Christine sasa ametualika kumwandikia maoni yetu, angalia tovuti hiyo:
http://docs.google.com/Doc?docid=0AbIPJ9Nv6udZZGd6MndwcGdfMzFkODNzOG0zYw&hl=en
Bahati mbaya yeye haelewi Kiswahili, kwa hiyo itakuwa lazima kumwandikia kwa Kiingereza. Asante kwa michango yako!
Ni wako katika ujenzi wa lugha yetu, --Baba Tabita (majadiliano) 08:03, 10 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]

mkutano wa Skype kesho kutwa[hariri chanzo]

Ndugu Marcos, salaam! Jumatatu tarehe 19, saa kuminamoja za mchana/jioni (yaani saa za Nairobi) tutajaribu kukutana kwenye Skype kwa ajili ya majadiliano kuhusu kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya na Tanzania kutumia na kuichangia makala wikipedia ya Kiswahili. Mpaka sasa tupo wanne: Christine wa Google (mooncheech), Sj (metasj), Muddyb (mohammed.lupinga) nami (stegling). Ni tumaini langu kuwa utakuwepo. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 18:58, 17 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]

majadiliano kuhusu utafsiri wa istilahi[hariri chanzo]

Ndugu Marcos, salaam! Nimeanzisha majadiliano mapya kuhusu utafsiri wa istilahi ya wikipedia yetu hapa. Naomba uyaangalie na kuchangia maoni yako. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 09:41, 23 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]


Kura ya kuamua juu ya wakabidhi waliopotea[hariri chanzo]

Karibu kutembelea ukurasa wa wakabidhi na kuamua juu ya wenzetu waliopewa haki za wakabidhi lakini hawakuonekana tangu miezi mingi: Wikipedia:Wakabidhi#Kura_ya_kuondoa_wakabidhi_waliopotea. Tuliwahi kujadili swali hili mwaka uliopita (tazama kwenye ukurasa unaotajwa, juu ya pendekezo) ; sasa njia imeonekana. Kipala (majadiliano) 05:31, 1 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]

LibraryThing-o en Esperanto[hariri chanzo]

Kara amiko! La tradukado de LibraryThing-o al Esperanto bone progresis. Dankegon al "Annix"! Vidu http://epo.librarything.com/zeitgeist/language/epo paĝon pri la ĝis nun plej ofte aldonitaj verkoj kaj aŭtoroj. Tamen necesas pligrandigi la bazon de la esperantlingvaj kunlaborantoj, de la esperantlingvaj libroemuloj. Bv. sekvi (provizorajn) klarigojn haveblajn ĉe http://epo.librarything.com/topic/134789 . Antaŭdankon! לערי ריינהארט (majadiliano) 21:03, 27 Machi 2012 (UTC)[jibu]

2 questions[hariri chanzo]

Hi,

Before publishing anything here I need to have a sanbox to test. I cannot see it among options that are available to me. Can you grant me it? On other Wikis addding list of contents requires just to use curly brackets around the List Name: {{}} Here it does not work. Can you help me?

Regards

Pendekezo kuhusu utaratibu wa kuanzisha makala kwa watumiaji waliojiandisha pekee[hariri chanzo]

naomba usome hapa na fanya uamuzi wako: Wikipedia:Jumuia#Pendekezo:_Utaratibu_wa_kuanzisha_makala Kipala (majadiliano) 14:59, 26 Novemba 2012 (UTC)[jibu]