Końskowola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Końskowola
Coat of Końskowola

Końskowola (IPA [kɔɲskɔ'vɔla]) ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Kurówka. Iko katikati ya miji ya Puławy na Kurów, katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 2,188 (2004).

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Końskowola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.