Mtumiaji:Lloffiwr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia:Babel
cy Cymraeg yw mamiaith y defnyddiwr 'ma.
en This user is a native speaker of English.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
de-2 Dieser Benutzer hat fortgeschrittene Deutschkenntnisse.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.

Mimi ni Mwelisi (wa kike) ambaye nilikaa Tanzania zamani kidogo. Nimezoea kufanya kazi ya kutafsiri katika lugha yangu ya Kiwelisi kule Translatewiki.net. Nia yangu ni kusaidia katika kutafsiri jumbe na mambo mengine kwenye Kiswahili, ila kwa vile mimi si Mswahili sifanyi kazi hiyo peke yangu. Nimepewa wezo za mkabidhi ili nisaidie katika kutohoa jumbe za mfumo. Bahati mbaya sina nafasi ya kufanya mambo mengine mengi.

Mtumiaji:Lloffiwr/Majaribio