Majadiliano ya mtumiaji:Codtz

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Czeus25 Masele (majadiliano) 08:32, 8 Aprili 2021 (UTC)Reply[jibu]

Ndugu, unaendelea kuanzisha makala ambazo hazieleweki. Ukitumia vifaa vya kutafsiria, ni lazima uhakiki vizuri mwanzo hadi mwisho. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:46, 8 Aprili 2021 (UTC)Reply[jibu]
Ndugu, sasa makala zako ni fupi lakini zinaeleweka kwa kiasi kikubwa. Tafadhali, angalia nilivyoziboresha ili ufanye mwenyewe katika makala zijazo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:13, 1 Novemba 2021 (UTC)Reply[jibu]
Asante. Ntajitahidi kuboresha zaidi. Nilikuwa napata sana changamoto katika kuhariri makala ndefu, nikishazoea makala fupi ntahamia katika makala ndefu. AsanteCodtz (majadiliano) 16:45, 3 Novemba 2021 (UTC)Reply[jibu]
Ndiyo njia sahihi! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:07, 4 Novemba 2021 (UTC)Reply[jibu]

Nudugu ninapaswa kukuonya. Umeleta makala ambako hujajaribu kuelewa zinahusu nini. Mfano Susann Beucke. Huyu si baharia. Kiing "sailor" ni ama baharia (mfanyakazi kwenye meli) au mtu anayesafiri kwa kutumia chombo cha tanga, ama kama mwanariadha au kwa burudani. Tafadhali usiendelee kuunda makala bila kufanya utafiti, unasababisha kazi kwa wengine! Ukirudia kuhariri hovyo, unaweza kuzuiwa hapa. Kipala (majadiliano) 07:30, 3 Desemba 2021 (UTC)Reply[jibu]

Habari,
Asante kwa kunirekebisha na samahani kwa makosa ntayafanyia masahihisho. Je naweza sema huyu ni mpiga kasia badala ya baharia?
Asante. Codtz (majadiliano) 08:19, 3 Desemba 2021 (UTC)Reply[jibu]