Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Jonny Frosty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jonny Frosty
Jonny Frosty akishiriki Katika Wiki Loves Monuments 2024 in Tanzania
Jonny Frosty akishiriki Katika Wiki Loves Monuments 2024 in Tanzania
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Johnson E Massawe
Pia anajulikana kama Jonny Frosty
WhiteWolf
Johnels
Amezaliwa 27 Aprili 2001 (2001-04-27) (umri 24)
Asili yake Mbezi, Dar es Salaam
Tanzania
Kazi yake Mwanaharakati
MwanaWikipedia
Miaka ya kazi 2021 - hadi leo

Mimi ni Johnson Massawe. Humu hujiita "Jonny Frosty", ni kijana kutoka Dar es Salaam, Tanzania mwenye shauku kubwa ya teknolojia na ubunifu. Nina utaalamu katika mitandao ya kompyuta, usalama wa taarifa, usimamizi wa mifumo na hifadhidata, pamoja na ufundi wa vifaa na programu. Mbali na kazi za TEHAMA, ninashiriki kikamilifu kwenye miradi ya Wikimedia kama mratibu na mchangiaji, nikihamasisha na kuhifadhi maarifa huru kuhusu historia, utamaduni na urithi wa Tanzania na Afrika. “Teknolojia ni daraja la kesho, tuilinde na tuiendeleze.”


Masanduku ya Mtumiaji

[hariri | hariri chanzo]
Userbox
sw Mtumiaji huyu ni mzawa wa lugha ya Kiswahili.
Mtumiaji huyu anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu Anaishi Dar es Salaam.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.
Leo ni tarehe 13 Januari 2026.
Mtumiaji huyu ana ukurasa kwenye Wikimedia Commons.
Mtumiaji huyu hana utulivu katika sela ya uharibifu wa Wikipedia.
Mtumiaji huyu ana furaha.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Mtumia huyu anapenda masanduku ya watumiaji.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanadoria katika sehemu ya kurasa mpya.
1,666+
Mtumiaji huyu anaishi katika Dunia ya Wikimedia.