Isebania, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isebania, Kenya ni mji mdogo wa kaunti ya Migori, magharibi kusini mwa Kenya.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 23,891[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]