Emali
Mandhari
Emali ni mji mdogo wa Kenya katika kaunti ya Makueni, kwenye barabara kuu Mombasa-Nairobi.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 18,325[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Emali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |