Wadatoga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wadatooga (pia huitwa Wataturu, Wamang'ati au Wabarabaig) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Manyara na Singida. Lugha yao ni Kidatooga.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadatoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.