Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Wilaya ya Mbozi]]. Pia wako [[Zambia]]na Malawi. [[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]].
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Wilaya ya Mbozi]]. Pia wako [[Zambia]] na [[Malawi]].
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]].


Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].

Pitio la 11:42, 3 Novemba 2018

Wanyiha ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbozi. Pia wako Zambia na Malawi.

Lugha yao ni Kinyiha.

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo Wasafwa, Wandali, Wanyakyusa, Wabungu na Wanyamwanga.

Wanyiha walio wengi ni wakulima: zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyiha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.