Wanyisanzu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Waisanzu)

Wanyisanzu (Anyihanzu) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Singida, Wilaya ya Iramba, Tarafa ya Kirumi.

Lugha yao ni Kinyisanzu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyisanzu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.