Wilaya ya Kilindini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shule ya Allidina Visram huko Mombasa, mnamo 2006, palikuwa mahali pa kituo cha Briteni cha "Kilindini" wakati wa Vita vya Kidunia vya pili.

Wilaya ya Kilindini ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yalikuwa Mombasa mjini.