Wilaya ya Lamu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Lamu (wilaya))
Kwa maana nyingine, tazama Lamu (maana).
Wilaya ya Lamu | |
Mahali pa Wilaya ya Lamu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Lamu |
Eneo | |
- Jumla | 6,497.7 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 101,539 |
Wilaya ya Lamu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa Lamu mjini.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Lamu.
Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa la Lamu.
Eneo la wilaya lilikuwa km² 6,167 na idadi ya wakazi 72,686 [2]. Wenyeji ni hasa Wabanjuni.
Kuna misitu ya mikoko ufukoni.
Wilaya ilikuwa inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.
Tarafa | Wakazi wote* | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Amu | 17,310 | 12,839 | Lamu |
Faza | 7,474 | 0 | Faza |
Hindi | 7,072 | 1,335 | |
Kiunga | 3,310 | 0 | Kiunga |
Kizingitini | 6,010 | 0 | Kizingitini |
Mpeketoni | 25,530 | 773 | Mpeketoni |
Witu | 5,980 | 1,322 | Witu |
Total | 72,686 | 16,269 | - |
* 1999 census. Sources: [2], [3], |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Lamu District: Physical Description Ilihifadhiwa 14 Februari 2005 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |