Wilaya ya Kinango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinango

Wilaya ya Kinango ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yalikuwa Kinango mjini.